Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Kuna tatizo???Na mimi nasubiri jibu.
Mbona umeni-quote kwa jibu ambalo nimeshakupa au hujaridhika nalo mzee?,nadhani hukukusudia kunikot mimi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tatizo???Na mimi nasubiri jibu.
Nasubiri jibu kwa swali alilouliza infantry.Kuna tatizo???
Mbona umeni-quote kwa jibu ambalo nimeshakupa au hujaridhika nalo mzee?,nadhani hukukusudia kunikot mimi!
Ndugu zangu watanzania eti;
Katika ujenzi wa kisasa, kuna umuhimu gani wa kuwa na choo pamoja na bafu "separately" katika nyumba ambazo ni self-contained? Kwanini hivyo nyumba viwili visiwe na matumizi yanayofanana?
Yaaani yale yanayofanyika bafuni yafanyike pia kule chooni na yale ya chooni pia yafanyike bafuni.
[/B]
Master umeweka choo tu mkuu? Sasa ukitaka kuoga huwa unafanya nini mzee baba?
Nasubiri jibu kwa swali alilouliza infantry.
Mkuu Infantry SoldierMaster umeweka choo tu mkuu? Sasa ukitaka kuoga huwa unafanya nini mzee baba?
Naona una complicate issue hadi kuanza hisia kuwa ni league,league ili iweje? Jamaa kauliza tu umweka Choo tu bathroom ukitaka kuoga unafanyaje? Na mimi nikasema nasubiri jibu lako kwenye hili swali. Sio lazima ujibu.Niseme tu hata mleta mada ameteleza kuniuliza hilo swali na nilichagua kutokumjibu kutokana na nilishaona mwanzo ametoka nje ya mstari wa mada yake ila wewe unataka league,hiyo paragraph ya mwanzo ya mada yake amesema hivi “Katika ujenzi wa kisasa, kuna umuhimu gani wa kuwa na choo pamoja na bafu "separately" katika nyumba ambazo ni self-contained? Kwanini hivyo nyumba viwili visiwe na matumizi yanayofanana?”
Soma na para iliyofuata,kwa muktadha huo,naamini mimi ndiye nipo sahihi kuweka choo tu ambacho nitafanya huduma zote na ndiyo hasa ilikuwa hoja msingi ya jamaa hapo juu sasa sijajua hasa wapi nimekosea au hoja yangu ni wapi isipoeleweka?
Ndiyo maana nikauliza kuna tatizo mahali?
Hapa sasa ndio umefafanua,uliposema umeweka Choo tu tukaelewa Choo bila bafu, ndio maana akauliza ukitaka kuoga unafanyaje? Kumbe ni chumba kimoja kina bafu na Choo kitu ambacho hata mimi nimefanya.Mkuu Infantry Soldier
Ninini hasa msingi wa hoja yako?kulingana na content ya uzi wako unadhani nipo sahihi au sipo sahihi kuweka choo tu nachoweza kujisaidia na kuoga humo humo?au ulimaanisha kwamba hata kama ni master bedroom lazima vijengwe vijichumba viwili na vyote viwekwe toilet sink ili tu vionekane vimewekwa?
Usually master huwa ni kwa wawili tu mtu na mkewe unadhani ipo siku watagongana kuingia humo kwa wakati mmoja hali ya kuwa nyumba ina choo kingine ndani na kingine nje?
Bro siyo busara kutag watoto wazuri kwenye mada za kujadili vyumba vya kutunzia mavi.
Naona una complicate issue hadi kuanza hisia kuwa ni league,league ili iweje? Jamaa kauliza tu umweka Choo tu bathroom ukitaka kuoga unafanyaje? Na mimi nikasema nasubiri jibu lako kwenye hili swali. Sio lazima ujibu.
[emoji1666]Hapa sasa ndio umefafanua,uliposema umeweka Choo tu tukaelewa Choo bila bafu, ndio maana akauliza ukitaka kuoga unafanyaje? Kumbe ni chumba kimoja kina bafu na Choo kitu ambacho hata mimi nimefanya.
Mambo ya phisics hayo, pressure distribution. Tank la pembe nne ni dogo halina msukumo mkubwa na pia kupata urahisi wa kujenga zile chamber zake. Tank la mduara ni kubwa hubeba maji mengi na mduara hutoa usawaziko wa mkandamizo. Kujenga la pembe 4 ni rahisi lakini uimara kwenye kona ni mdogo.Kwann tank za pembe 4 na duara. Na isiwe zote mbili pembe 4 au zote zikawa duara.
Tena fix ya mchana kweupe...Aisee kuna master inajitegemea acha fix
Mhhh. Hapa sina la kusema kabisa mkuu.au unatumia choo cha shimo ulitaka ucoment ili uonekane mjanja
Tank kuu hukusanya uchafu ambao tayari majimaji, kazi ya tank dogo lile ambalo ambalo huchimwa pembe nne, linalotengenishwa sehemu mbili.Mkuu, lakini hayo yote mwisho wa siku si yanakutana katika tank kubwa kule nje?...
unaingia na kiti cha plastic au mbao chooni halafu wakati wa kujisaidia unakaa kwenye hicho kiti.Sijawahi tumia choo Cha kukaa, naomba nielekezwe namna ya kukitumia!
Lissu hakuna kitu hata kimoja anaweza kuwa mbele ya Magufuli. Kipigo atachopewa October anaweza kuwachukia Watanzania wote.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Katika ujenzi wa kisasa, kuna umuhimu gani wa kuwa na choo pamoja na bafu "separately" katika nyumba ambazo ni self-contained? Kwanini hivyo nyumba viwili visiwe na matumizi yanayofanana?
View attachment 1587202
Yaaani yale yanayofanyika bafuni yafanyike pia kule chooni na yale ya chooni pia yafanyike bafuni.
Kwanini baadhi ya watu hupendelea kuwa na chumba kimoja ambacho kinakuwa na matumizi ya namna zote mbili ila wengine hutenga vumba viwili vikiwa na matumizi mawili tofauti?
WATAALAM WA MASUALA YA UJENZI PAMOJA NA DESIGNING MSIPITE BILA KUTOA UFAFANUZI JUU YA HII TREND.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE.
Mhhhunaingia na kiti cha plastic au mbao chooni halafu wakati wa kujisaidia unakaa kwenye hicho kiti.
Wewe na familia yako kura zenu mkimpa msaliti wa Nchi haitaathiri kitu kwa sababu Dr Magufuli ni kipenzi cha Watanzania na tutampigia kura kwa 98% Vijana wachache wa Chadema mwaka huu mtajiua sana.Mhhh. Hapa sina la kusema kabisa mkuu.