Self-contained room kwa Arusha napata kwa bei gani wadau?

MzaramoTz

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
1,850
Reaction score
3,041
Habari zenu wadau.

Well, naulizia chumba kwa maeneo ya karibu na Chuo cha Nelson Mandela NM-AIST naweza kupata kwa bei gani wadau...?

Ningependa kiwe ndani ya fence coz kuna uwezekano wa kuwa na gari ambayo itaweza ku-park ndani. Hata ikiwa ni chumba na sebule pia it's okay.

Naomba kujua gharama natumai mwezi ujao kuwepo huko In Shaa Allah. Shukran.

NAWASILISHA.
 
Maana yake nyumba unaweza ishi Moshono, Chekereni, Kiseriani au Terngeru maan ahayo maeneo ndo yapo karibu na chuo cha Nelson Mandela
 
Habari zenu wadau.

Well, naulizia chumba kwa maeneo ya karibu na Chuo cha Nelson Mandela NM-AIST naweza kupata kwa bei gani wadau...?

Ningependa kiwe ndani ya fence coz kuna uwezekano wa kuwa na gari ambayo itaweza ku-park ndani. Hata ikiwa ni chumba na sebule pia it's okay.

Naomba kujua gharama natumai mwezi ujao kuwepo huko In Shaa Allah. Shukran.

NAWASILISHA.
0756-296443 ninacho hapa Tengeru. Sehem imetulia na Fence ipo
 
Back
Top Bottom