Habari zenu wadau.
Well, naulizia chumba kwa maeneo ya karibu na Chuo cha Nelson Mandela NM-AIST naweza kupata kwa bei gani wadau...?
Ningependa kiwe ndani ya fence coz kuna uwezekano wa kuwa na gari ambayo itaweza ku-park ndani. Hata ikiwa ni chumba na sebule pia it's okay.
Naomba kujua gharama natumai mwezi ujao kuwepo huko In Shaa Allah. Shukran.
NAWASILISHA.