Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #21
SidhanHii ndo yenyewe, hakuna kuzunguka zunguka
Kama sijapigwa na chochote je
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SidhanHii ndo yenyewe, hakuna kuzunguka zunguka
AiseeUgonjwa wa kutokupendwa.
Hujafa tu aise!!Self-pekee
Love-upendo
Very simple Mkuu
NB: nimeishia form 2
Kutokupendwa na nan?Ugonjwa wa kutokupendwa.
Hajui hata anaandika neneHujafa tu aise!!
We unaonaje?Kumbe huyo analia
Kama napenda sex je?Self love
Ni muunganiko wa maneno mawili inaanza SELF alafu LOVE ikiwa namaana kwamba kitu chochote chanya (positive) unachokifanya katika maisha yako mfano kiwe cha kukupa furaha, mafanikio, matumaini nk. kianze na wewe na si kutegemea watu wengine nikimanisha furaha yako, muonekano wako, hamasa yako nk. isitegemee mtu mwengine ila ianze na wewe hivo yani.
Komwe gan?
Weka picha pl,z
Utapata tu baada ya kupigwa kiburi....very simple yaniAisee
Upended pekee
Sasa anautoa wap mtu huo upendo pekee
Kama unapenda sex jekulewa had unagalagala au kulewa had unaokotwa kama mbwa koko hiyo ndio self love yenyewe
Kujipenda mwenyewe aje?Jipende
UweeeView attachment 2966420si hilo hapo ukivuaga wigi.
Kiburi ndio self love au?Utapata tu baada ya kupigwa kiburi....very simple yani
Hahah hayo ni matakwa na mwili na mpaka uwe na mwenza, SElf yaani ni mwenyeKama napenda sex je hio ni self love?
Wengi sana wanakumbuka kujipenda baada ya kuachwa au kuchapika kwenye mapenzi,,. Self love inakua kama kujifarijiSidhan
Kama sijapigwa na chochote je
SioniWe unaonaje?
Roho inapenda sexHahah hayo ni matakwa na mwili na mpaka uwe na mwenza, SElf yaani ni mwenye
Kula roho inapenda kama pepsi hivi
Sikumaanisha najua daah jf sometimes vichwa vigumuHujafa tu aise!!