Self love ndio nini?

Self love ndio nini?

Hakuna mtu ambae kaumbwa hana wa kumpenda That's is a BIG LIE ukiona Binadamu kakosa mtu wa kumpenda uyo atakua ana high EGO kama mtu anaweza kupendwa na mnyama kama paka ngedele had ugomvi itakua kukosa Binadamu mwezako wakukupenda
Hakuna mtu ambae kaumbwa hana wa kumpenda That's is a BIG LIER
 
Sex ni kitu kizuri kiafya na kisaikolojia ivo kama unapenda sio mbaya ila tambua kwamba kila kitu kinatakiwa kifanyike kwa kiasi kikishazidi tu hiyo ni ADDICTION So prepare yourself for consequences.
sauwa
 
Back
Top Bottom