n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Masonic gangs kila siku wanakuja na hoja mpya na zote huwa against Amri za mnyaazi Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujipenda mwenyewe na kuishi kwa furaha badala ya kujitolea kuwapenda wengine na kuyakataa Mambo ambayo hayawezi kukusaidiaHaya jamani,
Kuna kampeni inatembea duniani inaitwa self love.
Wale watafsiri wa lugha sanifu ya Kiswahili waje watuambie, self love ina maana gani? Kama una picha weka.
I second this😀😀😀😀 ninavyowajua wakina dada wa jf hapa utasakamwa sana
UweeMasonic gangs kila siku wanakuja na hoja mpya na zote huwa against Amri za mnyaazi Mungu.
Amen to this sisterKujipenda mwenyewe na kuishi kwa furaha badala ya kujitolea kuwapenda wengine na kuyakataa Mambo ambayo hayawezi kukusaidia
Hahahaahni moyo uliopondeka sasa unajitaftia lishe
MakubwaMm nachojua unaweka kioo alafu unajikumbatia mwenyewe. Vile unaona kule kwenye kioo ndo hivyo maana yake
Biblia inasema mpende jirani yako kama nafsi yakoNi usenge wa kizungu tu, unaohamasisha kutojali wengine na kukomoana yaani ubinafsi.
Sawa Selflove, Mrs.BiblicalBiblia inasema mpende jirani yako kama nafsi yako
Sa kama we hujajipenda jirani utampendaje bro?
Sioni uzungu wowote kwenye self love naona ni biblical
UweeSawa Selflove, Mrs.Biblical
Komalia huo unyamwezi ndo uko on trending.