Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Tumuulize adminTukichangia haitatuletea Shida??
Bila picha ni uzushiJana nimeona Train ikipita huko ulaya wakasema ni ya kwetu. Inafanyiwa majaribio.
Lakini hata bwawa la mwalimu nyerere imefikia tujumlishe ahadi na promise na idadi ya viongozi waliyoshiriki kupiga picha kwenye Miradi.
Yaani utasikia hili kesho lile lakini mradi hufanyikazi.
Ni bora wanyamazee mpaka unakamilika ndio tuambie hizi story za hapa na pale. Binafsi natamani nisiskie.
Au wadau mnasema je?
Kama hii mada inakera serikali Admin ondoa huu uzi please .
Nimetoa ushauri tu ili wajue.
Hakuna Rais hapa ni bomu Tena la kienyeji. Zenj wanafungua miradi kila siku hela zatoka wap? Amkeni wananchiJana nimeona Train ikipita huko ulaya wakasema ni ya kwetu. Inafanyiwa majaribio.
Lakini hata bwawa la mwalimu nyerere imefikia tujumlishe ahadi na promise na idadi ya viongozi waliyoshiriki kupiga picha kwenye Miradi.
Yaani utasikia hili kesho lile lakini mradi hufanyikazi.
Ni bora wanyamazee mpaka unakamilika ndio tuambie hizi story za hapa na pale. Binafsi natamani nisiskie.
Au wadau mnasema je?
Kama hii mada inakera serikali Admin ondoa huu uzi please .
Nimetoa ushauri tu ili wajue.
Midamida serekare inazingua kinoumaaaaa