ntingirawanyuma
Senior Member
- May 18, 2018
- 152
- 549
Sio kosa lake jasiri (mwalimu) haachi asili, hapo anatamani kuwepo hata na viboko pembeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kosa lake jasiri (mwalimu) haachi asili, hapo anatamani kuwepo hata na viboko pembeni.
AiseeeSio kosa lake jasiri (mwalimu) haachi asili, hapo anatamani kuwepo hata na viboko pembeni.
Tatizo sio ofisi nzuri mbona hiyo nzuri tu, ishu ni hiyo mifaili mezaniMkuu BAK yaani Dkt Magufuli angekuwa kwenye ofisi nzuri mgesema fisadi, hahaha ila nyie watu vimeo sana
urais unafanywaje??HAJUI NA HAWEZI URAIS NCHI IMEMSHINDA