Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,387
Ntakupigia baadaye kukusalimiaRudisha [emoji23][emoji23]
ππππAah ningekuungia cha mwezi kabisa, nikajua wamekunyima hao wasukuma wako(namuheshimisha kaka). Hizi za humu najisikia raha tu ile nakukuruka kuingiza harakaharaka.
Atakua kidume tu, kwa kugombania vocha za wadada wapo vizuri [emoji23]Sijui atakuwa nani huyo
Aah Kelsea si kashakupa ushuhuda hapo. Afu wasiochat hapa, ndiyo wanakuwa wa kwanza kuona vocha πππJaribu huenda bado badae basi π¬π¬
Karibu mamii [emoji4]Ntakupigia baadaye kukusalimia
ana dhalilisha uanaume wake π¬π¬π¬Atakua kidume tu, kwa kugombania vocha za wadada wapo vizuri [emoji23]
kwakweli!! Sasa kuna muda unakuta mkaka anajisifuuuuuuu maneno mengiiii blah blah kibao kuja 6*6 toba yaillahi!!ππππ ni empty set!!Mnapitia mengiand still mnavumilia,, mtafika paradise mmechoka sana
Faza unasambaza upendo wa agape
Na hawasemi ahsanteAah Kelsea si kashakupa ushuhuda hapo. Afu wasiochat hapa, ndiyo wanakuwa wa kwanza kuona vocha [emoji23][emoji23][emoji23]
Nifungulie PM nikutumie direct yaani ππAah Kelsea si kashakupa ushuhuda hapo. Afu wasiochat hapa, ndiyo wanakuwa wa kwanza kuona vocha πππ
Mnooana dhalilisha uanaume wake [emoji51][emoji51][emoji51]
Watoto wazuri wakiwa na ma bundle kidogo wanajibu text zetu , hapa najibiwa PM hatari ππππFaza unasambaza upendo wa agape
Voda wadwanzi hizo issues za kuexpose namba 5 za mwisho. Kama mtu alikuwa anakuhisi afu umeshukuru kupata vocha, anaunga codes fastaaa. Mimi naamini mtu akipata anashukuru, hata kama ni kimoyomoyoNa hawasemi ahsante
Kumbe ni mbwinu eeeehWatoto wazuri wakiwa na ma bundle kidogo wanajibu text zetu , hapa najibiwa PM hatari ππππ
Salama lakini
Saikolojia ya mwanaume....hii hapa...kwakweli!! Sasa kuna muda unakuta mkaka anajisifuuuuuuu maneno mengiiii blah blah kibao kuja 6*6 toba yaillahi!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] ni empty set!!
unabaki TU [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Salama boss kilinitait kihoma hapa Kati lakini Sasa nimerudi kwenye reli,,watoto wazuri wanahitaji care Safi SanaWatoto wazuri wakiwa na ma bundle kidogo wanajibu text zetu , hapa najibiwa PM hatari [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Salama lakini
Niko stendibai Mama Mchungaji.Nipo serious. Ngoja nitoe maelezo kwanza kwa Baba Mchungaji, ili aniruhusu kuja PM kwako
NimepitwaSante[emoji7]
Unawajua watoto ambavyo anaweza akagoma kula pilau nyumbani, afu akaenda kwa jirani kugombea ugali dagaa na wenzie? Honestly napenda hekaheka za kugombea vocha humu; hadi inaingia "umefanikiwa kuongeza" raha mnoooo. Ahsante sana baba PastaNifungulie PM nikutumie direct yaani ππ