Thanks love[emoji8].Get well ASAP..
Im all good howz weekend?Salama tu vipi wewe ?
Najifunza funza jirani ..Jirani hongera, unamshushia mtu mistari...
ππππππNa ma Eng π€£π€£
Na ma dakitare wale ma spesholist
Na kuna wewe π π nitaje?
Ukini kwotiMr. Jau [emoji1][emoji1]
Asantee ma'amUgua pole dear
π π π π dahHela huna? Ilo bando wanagawa wapi bure? ππ
Hela tunazo,, ila hazitoshi
Hahha poleni Sana inaumaga balaaAcha tu mdogo wangu!! Halafu Jana tulikua na interschool competition weeeee netball ni walitunywesha magoli mpaka nikakukumbuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AsanteeeeePole sana
PolesanaOooh Wigelekelo nashukuru kwa kunikumbuka. Niko naumwa jamani, hoi taabani. Mpaka kuingia huku nashindwa kabisa. Nina dozi ya sindano[emoji382]
Niko poa sana auntMr vocha unaendeleaje
Kazi inaendelea au[emoji1751]
Pisi kali wa kishuaπ
Asanteee dearPolesana
Pole sana mzunguOooh Wigelekelo nashukuru kwa kunikumbuka. Niko naumwa jamani, hoi taabani. Mpaka kuingia huku nashindwa kabisa. Nina dozi ya sindano[emoji382]
Pole mrembo,Oooh Wigelekelo nashukuru kwa kunikumbuka. Niko naumwa jamani, hoi taabani. Mpaka kuingia huku nashindwa kabisa. Nina dozi ya sindano[emoji382]
AiseeOooh Wigelekelo nashukuru kwa kunikumbuka. Niko naumwa jamani, hoi taabani. Mpaka kuingia huku nashindwa kabisa. Nina dozi ya sindano[emoji382]
π π π πUkini kwoti
Ukini laiki
Najiona ndio kidume
Ninaekumiliki
Wewe ni li zuri pia
Mie nimewazoea kina
Hadija Mshindo na Jesca Ndalafupi
Wa Kimboka
Wishing you a quick recovery mamyΒ‘Asante kipenzi. Niombeeni nipone Kwa haraka nije nilete mrejesho wa mazoezi [emoji28]