Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
[emoji1545][emoji3590]Tunywele tulivyomfanya mtu akatae jeshi Heaven Sent View attachment 2269908
Watoto wana hekaheka hawa na tunywele twaoTunywele tulivyomfanya mtu akatae jeshi Heaven Sent View attachment 2269908
Mbona π mkuu ππ[emoji1545][emoji3590]
Ngoja awe portableWe unataka kuwa portable tena[emoji16]
We Baki hivyohivyo bana,unapendezaaa
Hahahh! I can't imagine mjombaaa!! Naendelea na mazoezi na diet mie [emoji126][emoji126][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Imagine tu umekuwa kiportable, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Atakaeweza kutoa hizo mistari miekundu kuna zawadi yakeTunywele tulivyomfanya mtu akatae jeshi Heaven Sent View attachment 2269908
Tunywele twenyewe tudogo ππ au kisa tumebanika ka mchichaaWatoto wana hekaheka hawa na tunywele twao
π π π muache mtotoAtakaeweza kutoa hizo mistari miekundu kuna zawadi yake
Unaijua struggle ya kutonea nywele hadi ufikishe kimchicha eehTunywele twenyewe tudogo ππ au kisa tumebanika ka mchichaa
[emoji23]Mbona [emoji120] mkuu [emoji16][emoji16]
Eendiwoooo Tina nataka kupungua kidogo!!We unataka kuwa portable tenaπ
We Baki hivyohivyo bana,unapendezaaa
ππ niijulie wapi low cut mieUnaijua struggle ya kutonea nywele hadi ufikishe kimchicha eeh
Bahati yako ππππ niijulie wapi low cut mie
Asante ya kukataa kwenda jeshi au[emoji23]
Moyo wangu umesema ninwambie asante
Ya kuselfika da-mtumishiAsante ya kukataa kwenda jeshi au
Emu kwanza nimfute..Ya kuselfika da-mtumishi
Aah mkuu , inatafakarishaje tena?π€Mungu ni mwema
Sijambo kidogo
Niombee nisikuote
Maana hiyo staili
Ya kuchuma kokoa
Inanitafakarisha
Captain ,Captain,Captain.Unaona sasa, mtoto mzuri huna shida na mtu, umekaa nyumbani unasikiliza neno.