myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mwanya wa kununua sio jiraniJirani nataka ka mwanya jamani
๐คฃ๐คฃ our very own identityโ gold teethMuagize tena..
Nimekuwa na meno kama watu wa kaskazini ๐ฅบ..
๐๐ basi sawa jiraniMwanya wa kununua sio jirani
Huyajui mkuu?Ya watu wa kaskazini yakoje? ๐ค๐ค
Wii Jana umetuchomesha mahindi,tumesubiri picha hadi tukachoka.Isaya 18
Bwana akamwambia Yeremia nenda nyumbani Kwa mfinyanzi...
Utamuona mfinyanzi anavyofinyanga chombo...
Kilichoharibika anakifinyanga tena anakifinyanga tena jinsi apendavyo yeye.....
Ndinvyo ulivyo Bwana ww ni mfinyanzi...
๐ต๐ถ
When did you realize life is fair? mi siamini, anyway kila mtu anaamini chake ๐๐๐๐ hamna bana, weka kando matamanioโฆ maisha yako fair tu
Bamia ndio mnasema ๐ค๐ค๐ค.. Ukishikwa Julieth ๐๐Watu hajui kutumia tango kwenye kachumbari, wengine hawajui kutumia bamia kwenye dagaa ๐๐๐๐
Wape somooo
๐ฅบ๐คฃ๐คฃ our very own identityโ gold teeth
Wana noga wa hivi
Sijaruhusiwa wiiiiWii Jana umetuchomesha mahindi,tumesubiri picha hadi tukachoka.
๐๐๐๐ Kuna hujuma humuLife is not fair.....
Khaa๐Sijaruhusiwa wiiii
Mi ni mwanamke mtii๐๐๐nasubiri ruhusa๐ค
๐๐๐๐๐๐
Ukiwa msafi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ujue kuwa wababa ndio mafundi bomba wazuri [emoji847][emoji847]
Vijana mnatakaga
Kurudi
Mlikotokeaโฆ
Woiii
Linafaa kuwekwa ndani na litulie eeh ๐๐Wewe
Ni li zuri
Sawasawa mkuuLinafaa kuwekwa ndani na litulie eeh ๐๐
Ahaha! Mie nimechangia tu jirani wala sizogezi pua kwa Julieth ๐๐๐Sawasawa mkuu
Si wote tunavuta hii free hewa? Sasa hayana vipi usawa?When did you realize life is fair? mi siamini, anyway kila mtu anaamini chake ๐
SanaLinafaa kuwekwa ndani na litulie eeh [emoji41][emoji41]