Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,306
- 32,797
Mm mdogo toka lini[emoji856][emoji856]Kuhusu nini mdogo wangu??
Lenie kwanini sasa mnawafanyia vijana wa watu mambo kama haya π€£πππ nyie wa kishua, ma sie wa matopeni huku wapi na wapi.. acha tupambane na size zetu.. mtoto akila mihogo na pepsi chali.. sio nyie hadi mumtunuku mtu kafilisika tayari π€£π€£π€£
Nafanya mazoezi kwanza jirani...siksi pakShaka ondoa jirani selfika π
Ehhh[emoji8]
Lol kumbe uko mkubwa!?? Basi Sawa kuanzia leo nimekoma kukuita dogoMm mdogo toka lini[emoji856][emoji856]
πππ kazana aiseeNafanya mazoezi kwanza jirani...siksi pak
Marahaba dokta. Na heshima hiyo ikurudie 7 mara sabini....Mkuu heshima yako..shikamoo
π€£π€£πππ kazana aisee
Ngoja 'nirare' nae mbele [emoji3][emoji3]
π€£π€£π€£Ushaambiwa hao ni wanaune 4 tofautiπ
Watu tucheze kwaitooooπππππ wakuje bana,, watu mule ubweche
ππππ hawajui hawaMbona mihogo me nakula sanaππ
Tatizo litakua hawafanyi machaguo sahihi au wanafata maslay queens