Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Mimi bachela na jiko ninaloπBachelor na mijiko ya mkaa tena ππ naanzia wapiβ¦
Nyie wa nyumbani endeleeni π
Nilivyoona hiyo multicooker aki nikamkumbuka best muba mubeππππNafanyia nini jiko la mkaa?? Godauni? Niliwashe? Liniue πππ humo ndani,, akuu mwenzangu ππ
Maharage nachemshia kwa multi cooker au kolabo ya chupa ya chai na gas kidogo πππ
Nimetamani pilau lako na kuku wa Saint Anne ππMulti cooker inaingia View attachment 2273097 kuchemsha pilau πππππ
Bachelor gani unaishi kwenu? πππMimi bachela na jiko ninaloπ
Kachukue kuku kwa Anne uje udowee na hapaNimetamani pilau lako na kuku wa Saint Anne ππ
Unatumia mwiko wa elfu 50Desa la silicone spoon au ππ
Viporo ndio mwakeππWakishua viporo utaweza?
Unyama sanaa nyie wadada wawili π€£π€£π€£πNilivyoona hiyo multicooker aki nikamkumbuka best muba mubeππππ
Mchele mpya mzuriBachelors tunapika anytime Lenie View attachment 2273092
Nani kama sisiiiiiiπ€£π€£π€£π€£π€£Unyama sanaa nyie wadada wawili π€£π€£π€£π
ππππππBachelor gani unaishi kwenu? πππ
π€£π€£π€£ππππππ Nimecheka sanaUnatumia mwiko wa elfu 50
Aah we ni hatariiiii
Sikukosea kuchagua shostπππ
Hata sielewi yaani, ikabidi nigugoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππππ Nimecheka sana
Sasa ukauliza desa la nini wakati mwiko unajua mpaka bei yake π€£π€£π€£
Juzi kati nimefika maduka flani, sio sokoni..Mchele mpya mzuri
Juzi kati nimefika maduka flani, sio sokoni..
mchele kg 2700 kwa 3000
Nikapigwa butwaa,, huo nilichukua sokoni 2500β¦ Natamani usiniishie [emoji23]
Hakunaaaaa π€£π€£πππNani kama sisiiiiiiπ€£π€£π€£π€£π€£
ππππ ndio hivyo banaHata sielewi yaani, ikabidi nigugoπ€£π€£π€£π€£