Selfika na JF: Snap it. Show it

Habari za uzima msukumaa[emoji8]

Nakusalimia babaa yutongs [emoji12]
Mi sijambo aisee...

Naona unabarizi mitaa ya Moro na RR lako jipyaa.

...and yes. Yutongs foreva japo zimeanza kunielemea hasa zile supa dupa. Umri umeenda sana nisipojiangalia nitakuja kuzima laivu nikipambana na yutong [emoji24][emoji16]

Kuna haja sasa ya kuhamia ule upande mwingine...as in Maendeleo Hayana Chama ...

Endelea kubarikiwa BL [emoji1545]
 
Leo chuga ni nyuzi ngapi?

Maana Njombe huko mpk sasa ndo wametisha barafu zinaanguka tu!
Ila dar sijawahi ona hii๐Ÿ™Œ
Kimsingi leo jua liliwaka thoe lilikuwa ni la mchongoโ€ฆ j5/j4/j3 ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ, j5 ilikuwa 13.. ilikuwa balaa.. na la huku likikuingia tu mwilini, nimonia nje nje
 
Hahaaahahaaaa ng'ombe hazeeki maini msukuma !!

Baraka nimepokea msukuma shukrani sana [emoji120]
 
Ah leo baridi lipo
Limenipiga aisee na hako kamvua
Wamenibishia humu,na baridi linaendelea hili. Nimechek news hapa....
Sasa check weather mpk huu mwezi uishe!๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Njombe ndo shikamoo mpk barafu zinaanguka๐Ÿ™†๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Nyuzi 9 so far
,mafinga,mbeya ,Iringa zinapishana kidogo ila ni balaa,12,13,14.... ndo balaa

Arusha haiingii kwenye hayo maeneo halo juu!
 
Nini hiki?

Vumbi la Kongo ama? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dawa ya mafua hyo bana [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ