Utanitesa Babu yako, muda huo macho yatakuwa hayaoni bila Miwani πBado Bado nasubiri mida yetu Hadi watu walale Kwanza
Itikia salam yangu Kwanza ww bintiUko maeneo gani Kwa Sasa?
Naijua show hiyoKabisa Mkuu, so delicious [emoji39][emoji39]
Sweetie hainaga salamu hiyoooππ. Ww jibu tu mengine yaendelee..
Leo una njaa
Kaugali kaduchu π₯Ίπ₯ΊView attachment 2285510
Samaki wa Kuchoma ππ
Kuna wajukuu zangu hawawezi kumaliza huyu Samaki π€ͺ
Sema ugali wa dona una kasura kake spesho π€£π€£View attachment 2285510
Samaki wa Kuchoma ππ
Kuna wajukuu zangu hawawezi kumaliza huyu Samaki π€ͺ
Madam Don π₯°π₯°π₯°
Hahaha.............ingawa Wazee ndiyo tumeshauriwa kula zaidi π€ͺSema ugali wa dona una kasura kake spesho π€£π€£
wapi maeneo mkuuπ
Huo ugali plus hilo li Samaki unaweza kushindwa kumaliza π€ͺπ€ͺKaugali kaduchu π₯Ίπ₯Ί
unaisha mkuu mpaka mibaHuo ugali plus hilo li Samaki unaweza kushindwa kumaliza π€ͺπ€ͺ
Umeshawahi kula Samaki ana kilo 3, ndiyo huyu Sasa ππunaisha mkuu mpaka miba
#FoodMongerOnceSaid
Una mpango wa Kuja Kijijini hivi karibuni nimpe taarifa Bibi yako?We mzee kuna namna nakutafuta
Nimealikwa tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapi maeneo mkuu[emoji2]
Selfika nizimie basi hapaSweetie hainaga salamu hiyooo[emoji1][emoji1]. Ww jibu tu mengine yaendelee..
Wajukuu wakike wakiume [emoji856][emoji856][emoji856]Kwa udhamini wa Wajukuu