AsanteNa wewe pia ulale salama kipenzi.
Kitu cha Forester
Basi ngoja wifi yangu chirstine aje athibitishe kwanzaHuyu alikua mshenga/mpambe/mmwaga sera, sera zake hazikueleweka nikamiminwaaaaaa, nikamwagwaaaaaa nikagaragazwaaaaaaaaaa, nikatemwaaaaaaaa na mrembo mwenye umbo tata madam mkemia boss lady Antonnia πππ
SawaUsiku mwema kwako pia mrembo
Ulale unono
Kuna uzi wa crush na wanawake kutongozaFinal [emoji3][emoji3]
Mzima wewe hope uko poa mr WigeHope wambea hawajaona
Ebu rudia
Eti umesema[emoji848]
Thanks dear[emoji173]
Mashallah π₯°πHii siku nilishaambiwa nijiandae mapema niende masjid,,
Imefika saa 5 mom ananipigia nakusubiri hapa nijie na nguo zangu[emoji35]
nilinuna coz sikutaka kwenda[emoji23]View attachment 2292154
Acha kurukarukaMadam hapa natafuta mwanasheria nikukabidhi kibanda changu cha mpesa na vocha sitaki utani, hivi humu ndani hakuna mwanasheria?? Christine1 atathibitisha huko mahakamani[emoji6]
Mie ntakuwezea wapi weyee! πππππ kwa Amani Kabisa!!!!Huyu alikua mshenga/mpambe/mmwaga sera, sera zake hazikueleweka nikamiminwaaaaaa, nikamwagwaaaaaa nikagaragazwaaaaaaaaaa, nikatemwaaaaaaaa na mrembo mwenye umbo tata madam mkemia boss lady Antonnia πππ
mtoto mzuri mawardat, selfika kuna pisi wallah..Hii siku nilishaambiwa nijiandae mapema niende masjid,,
Imefika saa 5 mom ananipigia nakusubiri hapa nijie na nguo zangu[emoji35]
nilinuna coz sikutaka kwenda[emoji23]View attachment 2292154
Hee kumbe sikujua upo jukwaa lipi nika kutag hukoo πββοΈKuna uzi wa crush na wanawake kutongoza
Hadi sasa Melo anaongoza 10-0
Ebu kanitag uni crush na kuni aproach
Unajua damu zinaendana eeh
Fanya hivyo
Mkuu salama[emoji2321]Anyone in WAVUVI CAMP?
View attachment 2292151
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii mali fine kabisa.Kesho nayo ni siku wapendwa!!
Nikapumzishe fuvu langu sasa!!
Asubuhi utanikuta Real MadridEm ukwendeee.... Huyu ni wetu sie
Shepuuu ππKesho nayo ni siku wapendwa!!
Nikapumzishe fuvu langu sasa!!
Humu napita pita kusafisha machoMkuu salama[emoji2321]
Karibu selfika ingawa nafahamu
Kuwa ni mdau humu[emoji1787]