Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyoda ndio nn maana kwenye gololi maneno mengi ni kiingereza tu [emoji1][emoji1][emoji1]
Utaskia lift mara no lift touch mara no touch [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo sasa ni call, (kolu), ndo kuna 1 touch, no touch, lift touch.

Mie wa kijijini kingereza sijui
 
Sanaaa tyuuh.
Nimekumbuka mchezo wa "mseleleka" nimemaliza sana nguo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utoto raha sana.
Ukubwa nao raha bhana au wewe huoni raha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ndinga km ndinga.
Mwenye ndinga humu ninayemjua ni Baba Joy pekee. Hivi vingine vyetu hivi ni vyombo vya usafiri tu (in Kiduku Lilo's voice) πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 

Attachments

  • Screenshot_20220723-145920_Chrome.jpg
    68.5 KB · Views: 19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…