Salama kipenzi..jumatatu imeanzaje upande wakoKwema sana kipenziiiii!!! Habare za wewe??
Kam kauwaaaa kam dauwaaa dear niko full gadooo!!βοΈβοΈSalama kipenzi..jumatatu imeanzaje upande wako
Inapendeza mpendwa..enjoy asubuhi yako dearKam kauwaaaa kam dauwaaa dear niko full gadooo!!βοΈβοΈ
Sahivi sina shida na kingreza π€£π nilikitaka jana at least nikagombane na waingereza wa Tottenβ¦ sasa nimeshalala nimeamka hasira zimeisha πππUsiyaoge utaumwa na mie bado nakuhitaji didi akeππ
Si unataka kujua kinge wewe, njoo tusome magazeti haya, nikikupeleka vacay Ulaya usintie aibuView attachment 2324154
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee!!!! usisahau kunitag kipenzi au unatupia saaaii???? Sitaki kupitwa kabisaa! Siku nyingi sana sijaona mshepu nambari wani Africa Mashariki na katiiiii ππππNitaselfika leo ..kaa hapo utaniona dear
Santo sana kipenzi!!Inapendeza mpendwa..enjoy asubuhi yako dear
WeeeeUkioga maji ya baridi gesi na umeme vikikata
Nzuri madamMarhaba Mdogo wangu..za siku?
πππ jana kuna kitu ulikunywa weweSahivi sina shida na kingreza π€£π nilikitaka jana at least nikagombane na waingereza wa Tottenβ¦ sasa nimeshalala nimeamka hasira zimeisha πππ
Kingreza chako komaa nacho tu vacay twende gwanzuuuu π€Έπ»ββοΈπ€Έπ»ββοΈ
Wambie warudie boss lady alafu waonyeshe mfano wewe wao wafuateKwere mr vocha ni ulikosaaa vitu vinonoo hatateeeeee!! watu na lipss zao watu na macho yao yakunguuuuu !! yaniiiiiii
πππ€£π€£ππππ€£πππππ Mimi ninani hata nikupinge Bossi wetu selfika Africa Mashariki Kusi na kasii??ππ Tulia hapohapooo napita kama nilivoooooooπ!Wambie warudie boss lady alafu waonyeshe mfano wewe wao wafuate
Nilikunywa ginger ale ya moto πππππ jana kuna kitu ulikunywa wewe
Gwanzuu hapo connection kama zote, wacha tutafute nauli tu
Nikaribishe weekend ijayo tutambe woteTunatamba mjini
Bebe beibeeeπ
πππ nitakudunda ujue?Bebe beibeeeπ
Ila hizo hereni zitaongea akiπ
Zimefika au nimtag kabisaπ
Hi ccy Antonnia..... Jana nlikua na hako ka series kapya.... Ndo kalikua kakinipotezea mawazo usiku ..... Leo ntapita