Inifikie basi kabla jioni haijaisha โบโบLizzy ya kahawa ๐๐๐View attachment 2324491
AmeeenAlekomslaaammm Warahmaturah Wabarakkhhhattttt!!
Kisa nini?Ya mchongo
Una habari kuwa nakudai,nimekodi Askari wakuweke ndani
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hilo deni tusahau,
Usimpe heka heka jirani wa watu ๐๐ kaa pale uote juaMb nitaomba jirani hapa anihotspot๐๐
Uwii mwambie ana maisha marefu sana๐
Umemsalimia au umejibanza mahali? Pozi lote la kuulizia feedback likapotea!๐๐
Sawa nakulipa
๐๐ wewe tena, cheki kwa account kama hujapoke message badoInifikie basi kabla jioni haijaisha โบโบ
๐คฃatajijuUsimpe heka heka jirani wa watu ๐๐ kaa pale uote jua
I passed like a shadow ๐คธ๐ปโโ๏ธ
๐คง๐คง๐คง๐คง
Weee siku hizi nimeupgrade, za Rufufu siangalii๐คฃ๐คฃ
Omujungu [emoji16][emoji16][emoji16]Unaniua mbavuu zangu mjomba [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Mzungu wa mchongo hahahahaha alijua kunichekesha walai!
Usinichomeshe mahindi Tena[emoji17]Sawa nakulipa
Ila watu ni washenzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]