๐๐๐๐๐ hamna shida mkuu wangu! Salama lakiniMkuu Eeeh shida nini tena?
๐๐๐๐ Sio pale manyara๐๐๐ wasalimiee Malaika aisee,, nimelimiss mno ilo jijiโฆ
Kwenye kitabu changu cha madeni naona road trip iliyopo ni ya Magoroto, kama sio Migombani huko
Safi ...Na kiangazi kinavyojua kupausha ngozi ni balaa, utakua umefanya jambo jema sana.
Nitatuma profoma mapema kabisa.
Depal ukuje utoe shukrani in advance
Ukiweka conclusion zako me naku ๐ฎ ๐คฃ๐คฃ๐คฃMnatuletea taharuki mjue, bana sisi tutaweka konklushen zetu mtuone wabaya bure
Ukifika unakoenda upokeee ๐ฑ fyuu ๐๐๐๐๐๐๐ Sio pale manyara
Af aliyekufundisha kutumia hyo emoji ya kidustbin tutajutaUkiweka conclusion zako me naku ๐ฎ ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Sina hata muda wa kukuona mโbaya
Hiki kipupwe hukioni ๐๐๐Shem coconut oil n vaseline vya matumizi gani
TugeeRoughly budget niwape? Au unamngoja afisa manunuzi wako?
๐๐๐ hapa naondoa wenge la usingiziUkifika unakoenda upokeee ๐ฑ fyuu ๐๐๐
Sana, hanaga baya na mtuSafi ...
Ndioo Depal ana roho nzuri...
๐๐ sawa coffee masta๐๐๐ hapa naondoa wenge la usingizi View attachment 2329442
Ukipata mpenzi wa kukubembeleza kula, si ajabu utashindilia ugali ngamia hakatizi...Mwenzangu weeh nishashindilia ugali mbwa aruki[emoji23]
๐ฎ๐ฎAf aliyekufundisha kutumia hyo emoji ya kidustbin tutajuta
Almost 50k hivi..Tugee
Nilikua sijakiona๐คฃ๐คฃHiki kipupwe hukioni ๐๐๐
Ndio maana unaitumia sana ili isitoke kwenye recentlly used๐ฎ๐ฎ
naitumiaga tu mbona
Sema iko mbali, naonaga uvivu kuifikia