Selfika na JF: Snap it. Show it

Jembe la nini ushuani huko nyumba imezungukwa na peving

Na mifugo nayo unayo?🀣🀣
 
Picha zenyewe mbona low quality
Ukali unazungumzia Ni upi mtoa mada[emoji848]
 
Jembe la nini ushuani huko nyumba imezungukwa na peving

Na mifugo nayo unayo?🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ serikali inataka tulime lami

Sina mifugo, sina usafiri, sina pasi ya mkaa, sina mtindio wa ubongo, sina jiko la umeme, sina pasipoti, sina DL, sina kadi ya kura πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…