Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Huyu naye anamimina ..yaani nyama zinaoga kwenye mafuta kama zipo mtoni ila mara mia amwage dada kuliko hawa wapuuzi wamesonga mafuta yote ya elfu 37π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!!
Tena umenikumbusha Hebu niongee na walimu wanaorudi likizo wanipitie mafuta huko singida walau dumu 2!
Hapo bado dadaa wa Kazi hajamimina kama yanaokotwa tu jamani uwiiiii!!
Weeee labda mwezi wa mchongoππππSiku hiyo nilikuwa nimechoka kujiunga kila siku bwana nikajilipua aiseee eti mwenzi ya kwioooππ
πππππππYa mia tano unatumia kwa masaa 3 si masaa24 kama wanavyoandikaπππ
Tusio na hela ndio tunateseka zaidiππKiujumla bei ya vitu iko juu hatari Regardless una hela au hauna!
Shida ya bando linakataa ama unaandika kitu muhimu au unatazama kitu yaani wana mbinu hawa .....πππππππ
Naunga za bukubuku
Angalau hazistui sana
π€πππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!!
Tena umenikumbusha Hebu niongee na walimu wanaorudi likizo wanipitie mafuta huko singida walau dumu 2!
Hapo bado dadaa wa Kazi hajamimina kama yanaokotwa tu jamani uwiiiii!!
jaribu nakwambiaNisije pata magonjwa ya moyo na elfu ishirini yanguππππ
Mie sasa huyu binti Yangu wa kazi na kina junia ni wanataka wali kila leoooo asubuhi mchana jioniii huwaambii ugali ni wali tu hawana mdaaaa!! Huku niliko uliza bei ya mchele sasa!! ππππHalafu Kuna Hawa wanaitwa Malaika wa Mungu wamesonga Lita tano ya sandrop na unga ndoo nzima hakiyananiπππππ
Mie Sijambo mjomba Shikamoo!!ππ€ππ
Shida sio kuwa na pesa hata nawe unazo shida unaweka bando halikaii buku ina nguvu kwa maana kwa mwezi ni 30000 imekatikaπ¬ππTusio na hela ndio tunateseka zaidiππ
Heee kumbe hadi uko ni wapigajiUnawajua voda? The rest wakasome
Marahabaaa shangazi πππ Nafurahi kusikia haujamboMie Sijambo mjomba Shikamoo!!π
Selfika basi mjomba wangu memis kuona zile uzoshevu mjomba!!πMarahabaaa shangazi πππ Nafurahi kusikia haujambo
Hakuna kwenye unafuu labda huko wanakosema VPN ya bure sijui!Heee kumbe hadi uko ni wapigaji
Kweli bado ni yaleyale tuπππππShida sio kuwa na pesa hata nawe unazo shida unaweka bando halikaii buku ina nguvu kwa maana kwa mwezi ni 30000 imekatikaπ¬ππ
Hakuna kwenye unafuu labda huko wanakosema VPN ya bure sijui!
Nako wanasema inaharibu battery.Hakuna kwenye unafuu labda huko wanakosema VPN ya bure sijui!
Voda ni washenzi sanaπUnawajua voda? The rest wakasome