ππYaniiiiii acha kabisa!!
Yaan balaaDadekiii hapo na Mirinda ya baridiiiiiπ
πππIla madamAwwwwwππππππππππ!!! Zinaonekana tu Tamuu kama mpishi mwenyewe!!!
Hizo uzuri zisiwe na mafuta mengi ndani zinakinaisha unakula chache.Yaan balaa
ππHuyo keshazoea kuachwa asikuumize kichwa!!
Halafu Carrasco Putin anazingua yani kuna watu wanachezea bahati Hakyanani!!πππππIla madam
YΓ n nimeonja Hadi nimeshiba hapa nimekaa na kikombe Cha majiπππ
Kweli nimejitahidi hazina mafuta nanhata hazijanyonya mafutaHizo uzuri zisiwe na mafuta mengi ndani zinakinaisha unakula chache.
ππππππIla madam
YΓ n nimeonja Hadi nimeshiba hapa nimekaa na kikombe Cha majiπππ
Carrasco atalia usiseme Kwa nguvu ππππHalafu Carrasco Putin anazingua yani kuna watu wanachezea bahati Hakyanani!!ππ
Alexprosper enjoy madikodikoo ya Sophy shemlakee
Umezipatia kipenziπKweli nimejitahidi hazina mafuta nanhata hazijanyonya mafuta
Ishakula kwakee!! Amepiga teke bakuli la dhahabu acha afe njaaa!Carrasco atalia usiseme Kwa nguvu ππππ
Asante alafu mara ya kwanza nazipika mwenyew namuonaga mama anapika najua Zinapikwaje na huwa namsaidiaga kuandaa lakin Leo ndo nimeziandaa na kuzipika mwenyew mwanzo mwisho ππUmezipatia kipenziπ
UmezipatiaAsante alafu mara ya kwanza nazipika mwenyew namuonaga mama anapika najua Zinapikwaje na huwa namsaidiaga kuandaa lakin Leo ndo nimeziandaa na kuzipika mwenyew mwanzo mwisho ππ
Anachelewa chelewa anakazi ya kuwachagulia wenzio yeye anajifanya pasta hebu muiteni hapa nimuhonge bagia πππIshakula kwakee!! Amepiga teke bakuli la dhahabu!
Chizi yuleee Akili zake anazijua mwenyewe!! Hapo kwenye kuhongwa anavopenda mteremko sasa atakuja fastaaa! Carrasco putin unaswampia wapi nyau wewe hebu njooo uinjoy mapishii kwa Sophyy hukuuu wee zubaazubaa tu!Anachelewa chelewa anakazi ya kuwachagulia wenzio yeye anajifanya pasta hebu muiteni hapa nimuhonge bagia πππ
π€£π€£π€£Hapo kwenye kuhongwa anavopenda sasa atakuja fastaaa! Carrasco putin unaswampia wapi nyau wewe hebu njooo uinjoy mapishii kwa Sophyy hukuuu wee zubaazubaa tu!
Asante mamyUmezipatia
Mselfike........Nawasalimiaπ
Aunt unapumua kweli hebu punguzaNawasalimiaπ
Sawa aunt wanakuja kuselfikaMselfike........