Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Alinipa 2021 ๐ ๐Picha ya tar. 06.10.2021
Ulikuwa hujaanza hata huo mchezo
Ebu eleweka bhana
Unanibania nini lakini[emoji848]
Ila wanawake unanibania hapa
Halafu huko hilo jamaa halina habari
Mwisho mnaanza oh wanaume ni mbwa
Sasa sijui nyie Ke ni paka mwitu..
Mtaani kugumukikubwa yamekwisha
imebaki kupambana tu huku kitaa.
๐๐๐ sijaanzaKwa hiyo
Matusi uliyaanza lini Dogo[emoji848]
Chuo panachosha , Bora huku ukikosa sawa na ukipata sawa unabaki kumshukuru Mungu .Mtaani kugumu
Ila sijawahi tamani kurudi chuo
Jicho hilo Aunt yangu๐
๐ Naona unaburudika.
Umeotea๐Jicho hilo Aunt yangu๐
Leo nina bahati kweli
๐๐
Leo nimekua na bahati ya mtende kweli kweli, ile naingia selfika tu nakutana na kitu kikali kutoka kwa aunt yangu๐Umeotea๐
Mim ni mke wa wote mdg ake Wigelekelo nahisi ndio me mkubwa
Yaani cwezi kukuacha labda waniuwe.Afadhali maana tupo mil 61๐
Enjoy auntLeo nimekua na bahati ya mtende kweli kweli, ile naingia selfika tu nakutana na kitu kikali kutoka kwa aunt yangu๐
Ulichelewa sana kufahamuTu bia twa kunywa msibani,ktk kiduka cha mangi,tamu sana
๐๐Kupendwa raha ankowenu yupo tayari kufa sio kuniacha ๐Yaani cwezi kukuacha labda waniuwe.