Selfika na JF: Snap it. Show it

Madam, Dar Kuna joto Sana. Kwa hiyo Mimi siyo mzima Sana wa afya. Joto kimeniketea vipele.
Na hata huonekani kama kichwa yako unaweza kuifanya ngumuπŸ˜†πŸ˜†

Pole aise..lakini maji ya kuoga si yanapatikana?au hata maji ua kuosha vipele ni changamoto 🀣🀣

Mapema San nitakuwa huko ngoja nianze kujiandaa kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…