Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Selfika kwanzaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Tupe muongozo mzee tuanze kusaga kunguni kuanzia upande upi?
Mimi nakujulia wapi? Wee niletee hizo shombo miye ndiyo ndimu mkata shombo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃBora nilikupiga chini utakuwa mzaramo wa mafiga 3
Jack Palladino msome mkeo
ERoni kuna chakula huku mkuu๐คฃ
Nimemsoma nikamuelewa yaan simuachi!๐คฃBora nilikupiga chini utakuwa mzaramo wa mafiga 3
Jack Palladino msome mkeo
ERoni kuna chakula huku mkuu๐คฃ
Huyu Bantu Lady lilikuwa koloni langu likanishinda.[emoji23][emoji23][emoji23]
Tupe muongozo mzee tuanze kusaga kunguni kuanzia upande upi?
Hivi kaka unaongea namimi? Ama umenifananisha?Tabia yako ya ukicheche ilinishinda ndio maana nilikufungia nje matokeo yake umenitangaza kila kona...utatulia lini?
Huna maana wewe kalio lako๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMimi nakujulia wapi? Wee niletee hizo shombo miye ndiyo ndimu mkata shombo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hivi unaitwa nani vile? ๐๐๐๐
Fanya maombi๐คฃMy babe Bantu Lady vita ni kubwa!๐
Vijana mpo vizuri kwa kuzusha mambo!๐Huyu Bantu Lady lilikuwa koloni langu likanishinda.
Jack Palladino akadai haina mako....
Akadaka
Sasa anakutaka wewe sumbai pambana naye๐คฃ
Mtoto kanielewa situmii nguvi sana mkuu!Fanya maombi๐คฃ
Pambana na mtani wako๐คฃEeh selfika hebu
Ebu mkamate huyo waache kunisumbua na babe wangu Bantu LadyEeh selfika hebu