Nashukuru migahawa ya karibu hapa hawauzi na siipendi tena .Kama zina hayo madhara Bora uache make vya kuandaliwaandaliwa tu Huko barabarani sio kabisa
Sijambo jirani mi nimevimbiwa tu hapa nasinzia!!Jirani hujambo..
hahahaaahaha...noma sana kwa afyaNashukuru migahawa ya karibu hapa hawauzi na siipendi tena .
hujui ni nyama kweli au ya mbwa .. Saa moja tu vishandaliwa na kuwekwa mezani .
hatari aiseehahahaaahaha...noma sana kwa afya
π€£π€£hatari aisee
mama ntilie siwezi vyakula vyao .
labda iwe mgahawa mzuri . wanchukua mchele unanuka kigunia π
πππTucheke kidogoView attachment 2475433
Sijaona hata mojaAsante dear Kamera zinatusevu sana !!
Mbona kwangu imekubali,au ulikuwa mtego?Kwangu Picha zinagoma kuaplodika Dr!! Sijui ni mtandao wahuku Nyakibimbirii labda πππ€£π€£π€£!
Wacha weeMbona kwangu imekubali,au ulikuwa mtego?
πππππ€£π€£π€£π€£View attachment 2475658
Nimecheka had nimemuamsha mtoto lohπππ€£π€£π€£π€£View attachment 2475658
Hello baby!!πWacha wee
Selfika kumenoga
Nimekuona LeoπHello baby!!π
Wapi umeniona mpendwa?Nimekuona Leoπ
Kwenye picha πWapi umeniona mpendwa?
Mimi sipo Hapo. Ni marafiki zangu hao.Kwenye picha π