Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Sana dear, wakati maisha haya ni ya muda mfupi. Furahia uwezavyo na tenda wema hatuishi milele.Yani ni Kuna watu ni wanakompliketi sana maisha dear!!
Kabisa kipenzi tatizo tunatofautiana sana uelewa !Sana dear, wakati maisha haya ni ya muda mfupi. Furahia uwezavyo na tenda wema hatuishi milele.
Huwa najaribu kuimba mara chache Gospel kama hivyo, shida yangu Sauti mbaya.Kumbe babuu Unajua kuimba hivo??
Hongera na Inapendeza sana kuona unamtukuza mungu granpa!!
Barikiwaaaaaโ๏ธโ๏ธโ๏ธ!
Hahahaaa!!! Vizuri babu!!Huwa najaribu kuimba mara chache Gospel kama hivyo, shida yangu Sauti mbaya.
Sijui ni haya MaKiko nayovuta ๐
Amen.. Thanks.. and you too..How have you been?
May God double your blessings,and 2023 be your revolutionary year IJN.
Thanks Mkuu, ingawa unahitaji Moyo kuweza kufanya hayo.Umemaliza yote ๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป hiyo ndiyo inatakiwa kuwa. Una roho ya kizungu Kaka, uendelee na moyo huohuo... I wish wanaume wote wa kibongo waisome hii ๐๐๐๐๐๐๐๐
Nikufundishe?Kwetu kuna mito tu ๐๐
Wakati ule nipo kwenye Kwaya ya Kumwimbia Malikia Elizabeth(Miaka Ile kabla ya Uhuru), I used to be a good Singer.Hahahaaa!!! Vizuri babu!!
Sana tena uadui kwa waliowahi kuwa wapenzi, ni mbaya sana.Thanks Mkuu, ingawa unahitaji Moyo kuweza kufanya hayo.
Mwengine mkishaachana unageuka adui yake milele
Roho za undugu na shetani ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃSana tena uadui kwa waliowahi kuwa wapenzi, ni mbaya sana.
Yeah inahitaji moyo na mtu awe yuko hivyo. Watu naona tuna roho tofauti, kuna watu wenye roho za kipekee kabisa. Halafu kuna wenye roho zao, kama zina undugu na shetani ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Wanawake kinachotusumbua ni wivu. Tukishinda roho ya wivu, kuona mwanamke yule ana kile, hata mimi Mungu kanipa hiki tutaishi kwa amani.Roho za undugu na shetani ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Mbavuu Zanguuu mieeeee!!
Especially sisi wanawake ndio tumezidi sana aweeeeeeh!
Wahivo Dawa ni kuwapuuzia tu hakuna kuwapa muda wala attention kabisa wakae na mawivu yao ya kiwaki!! Huwa hawataki kukubali ukweli!Wanawake kinachotusumbua ni wivu. Tukishinda roho ya wivu, kuona mwanamke yule ana kile, hata mimi Mungu kanipa hiki tutaishi kwa amani.
Usiombee uchukiwe na mwanamke ๐๐๐๐๐๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป hakuna rangi utaacha ona, hata pasipo na chuki ataiweka tu.
Yesssssss unatupa ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ unaenjoy life ๐๐๐๐๐๐Wahivo Dawa ni kuwapuuzia tu hakuna kuwapa muda wala attention kabisa wakae na mawivu yao ya kiwaki!! Huwa hawataki kukubali ukweli!
Kabisa dear๐!Yesssssss unatupa ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ unaenjoy life ๐๐๐๐๐๐
Maisha raha mstarehe...
Babuu?Kumbe babuu Unajua kuimba hivo??
Hongera na Inapendeza sana kuona unamtukuza mungu granpa!!
Barikiwaaaaa[emoji3577][emoji3577][emoji3577]!
Ntafurahi niwe naogelea kama ๐ ๐ ๐คNikufundishe?
Ili nigundue nini mie Wigeee!!
Naomba deiwakaGood morning Selfika [emoji477][emoji507]View attachment 2484377
Wanasema Kuna watu wahajui kuacha Wala kuachika.Sana tena uadui kwa waliowahi kuwa wapenzi, ni mbaya sana.
Yeah inahitaji moyo na mtu awe yuko hivyo. Watu naona tuna roho tofauti, kuna watu wenye roho za kipekee kabisa. Halafu kuna wenye roho zao, kama zina undugu na shetani ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Natoa jero ukasuke twende kilioniNimekaa nazo mwez jamen,jitoleeni bukubuku nisuke zingine....plzzz