National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
Hapa nakusaport asilimia mia ya mia kama umeanza kuskiliza za huyu jamaa
2019.... ishapita mika mitatu now...Mpaka moyo umeshtuka, kumbe natoka mbali hivii..!!π€
Nisichopinga mimi nampendaaa π π π€¨Mwenzake baraka da prrice
Simu za mangi dukani anakumbushia pesa yakeAnajifanya yupo bize na mboso
Leo upo na mood so poa...Nisichopinga mimi nampendaaa π π π€¨
View attachment 2527811
Shuka mistari shuka.......πππΆπΆπΆπΆππππ
Imagine uko jangwani umepotea
Mchana juani unatembea
Utokapo ni mbali uendapo ni mbali
Mara ngamia mbebaji akatokea
Na kukushusha mzigo uliokuelemea
Upate afadhali pole na safari
π π π πShuka mistari shuka.......πππΆπΆπΆπΆ
Kalipe deni usije kufa deni la watu hujalipa?Simu za mangi dukani anakumbushia pesa yake
Ww nae unataka kubebe mzigo wa mtu ππ harmonize kaushindwa ww utawezaππππ
Imagine uko jangwani umepotea
Mchana juani unatembea
Utokapo ni mbali uendapo ni mbali
Mara ngamia mbebaji akatokea
Na kukushusha mzigo uliokuelemea
Upate afadhali pole na safari
Kujipa raha muhimu mzee.. japo hakuna mahelaLeo upo na mood so poa...
π π π π πWw nae unataka kubebe mzigo wa mtu ππ harmonize kaushindwa ww utaweza
Kuna mtoto wa mtu anakufa wewe unawajua wanawake wa kitanzaniaπ π π π π
Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba
Na ntafika nao kiume
Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
Ntaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
La kwako ndo langu my darling
Na ntafika nao kiume
Ahaha matumizi ya hizi picha ni punyeto
π«’π«’ asee huwa sipigi punyetoAhaha matumizi ya hizi picha ni punyeto
Kiukweli,2019.... ishapita mika mitatu now...
Ongera sana mkuuπ«’π«’ asee huwa sipigi punyeto