Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,774
- 26,911
NipoSikupati mkuu
Safiii kabisaaa swafari njema
Nitamletea jezi ya manutd, itampendeza zaidi!π
Ataelewa sasa??? ππNitamletea jezi ya manutd, itampendeza zaidi!π
Nitamuelewesha tu!πAtaelewa sasa??? ππ
Ushindi tu!ππππ
Nasubiria matokeo!!π
Ukishinda namuongezea ya pili πUshindi tu!π
Unamuongezea au nitamuongezea ya pili?away kitUkishinda namuongezea ya pili π
1-0 π«ΆUkishinda namuongezea ya pili π
kila la heri watani mshinde tu otherwise tuwachekeTumemaliza manutd..mida wa wananchi sasa
πππkila la heri watani mshinde tu otherwise tuwacheke
kila la heri watani mshinde tu otherwise tuwacheke
Sasa wee unaogopaa nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kunamtu nilikuwa naongea sikujua km shabiki wa Yanga [emoji3][emoji3][emoji3]nikasema wafungwe wee nimekatwa jicho nikawaombea washinde tu bila kupenda [emoji23][emoji23]
Hapana lkn mtu mzima nikaona nitakosa Bπbaraka za wazeeπππSasa wee unaogopaa nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo anaekuweka mjini?? Uwiiiiih
Hahaha ungemtania , mbona wametucheka sana sieKunamtu nilikuwa naongea sikujua km shabiki wa Yanga
Akipata boom atakuja mumuoneshe hayo maeneo ya Bata π€Anakuja na hela zake ππ