mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
mwanaume mzima unashiba kachumbari!! πEmbu kula
ushibe kwaza
Ajeeee tukazurure
twende gran melia πAjeeee tukazurure View attachment 2614416
Akipata boom kasema atanitoa out, usije kumfanya abadili mawazo tasavaliKumbe uko Chuo saivi? Hongera sana
Ukipata boom la field mwezi Ujao, nunua debe zako mbili au 3 za Mchele wa Kamsamba, unanukia kishenzy. Ukipata na Maharage mapya ya Mbeya itafaa zaidi.
Wakati wenzio wanalalia Chai na Mkate wewe unabaki kuwacheki tu π€
Pizza elf 25 haiwezi tushinda ππtwende gran melia π
Nitumie nauli totoo nije kesho
Ahahahaah unataka nishie konokono mimi sio mchina bhnamwanaume mzima unashiba kachumbari!! π
acha utani basi gran melia pizza 25k?? πPizza elf 25 haiwezi tushinda ππ
Twende
nivumilie kwanza napita mapitoπNitumie nauli totoo nije kesho
sijui leo usiku na mimi nile tambi π au unasemaje....Ahahahaah unataka nishie konokono mimi sio mchina bhna
Wuuuuuu futa no zangunivumilie kwanza napita mapitoπ
nazifutaje wakati ziko moyoni πWuuuuuu futa no zangu
Walikudanganya milioni ngapi??acha utani basi gran melia pizza 25k?? π
Tafuta hela kwanza totoonazifutaje wakati ziko moyoni π
sijui ila naona kama haiingii akilini πWalikudanganya milioni ngapi??
pole sana.sijui ila naona kama haiingii akilini π
Kula tambi kaanga na chips kidogosijui leo usiku na mimi nile tambi π au unasemaje....
kuna siku nilienda pale, tulikua tunashangaa tu jobless boys πnikaona wazungu wanaambia vegeterian buffet ni 400$. ndo maana pale napaogopa....pole sana.
Siku moja moja jitoe..
Usiwe unadanganywa kirahisi.
Ewaaaaπ vilainishi.....Kula tambi kaanga na chips kidogo
Me nilidhani Wewe ndiyo utamtoa out huyo Dent π€ͺAkipata boom kasema atanitoa out, usije kumfanya abadili mawazo tasavali