Selfika na JF: Snap it. Show it

Naomba nikopeshe nyekundu moja babu kijana๐Ÿ˜ฌ
Sema Babu mjukuu, ungejua ninavyoutamani huo ujana we acha tu. Yaani pamoja na kupaka Piko ya hela nyingi kichwani lakini mvi bado tu haziniishi Babu yenu ๐Ÿคช๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ


Kuhusu nyekundu moja, Ngoja nilipe mkopo chefuchefu wa Benki niliokopea mbolea then ikibaki utapata Mjukuu ๐Ÿค—
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Vijana wa humu wa ovyo
At your own risk ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!
Mmeshauriwa kuchanga karata zeinyu vizuree lol!!
Filter hiziiii๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคฃ!
 
At your own risk ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!
Mmeshauriwa kuchanga karata zeinyu vizuree lol!!
Filter hiziiii๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคฃ!
๐Ÿ˜‚Kwakweli Kwa sisi tusio Pisi Kali kunakitu Cha kujifunza akina bakari wapo kwaajili yetu huku mtaani ๐Ÿ˜‚
 
Kabisa wametukatilijeeee lol!! Auntie Hauna kapicha kako ka sura pasono hapoo asubuhi Yangu ikae vizuri mimii??๐Ÿ˜Š๐Ÿค”๐Ÿ˜‰
Auntiel ndo mana ukaniita huku ๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“
Haya ngoja nikubless...๐Ÿ™Œ๐Ÿคธ
 
๐Ÿ˜‚Kwakweli Kwa sisi tusio Pisi Kali kunakitu Cha kujifunza akina bakari wapo kwaajili yetu huku mtaani ๐Ÿ˜‚
Kula chuma hicho

Filter si zipo..
Ni mwendo ule ule akijichanganya aje asimulie asije.. up to yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ