mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
hizo sehem za kubaki uchi na taulo hamuogopi ๐Ataliaaa
๐คฃ๐คฃNdio
Ye atakaa nje kutusubiria
nikae bure tu.... namimi nataka mvuke๐Hiyo tutafanya me na Depal
We utalipia tu bills totoo
Ndio kashakua mwanaume, majukumu hayaepukiki๐คฃAtaliaaa
Sa uogope ninihizo sehem za kubaki uchi na taulo hamuogopi ๐
Safiiii sana jirani..Tuingie sauna shangazi Lenie View attachment 2619224
kuna ile aibu yaani ๐sema dah, mi kweli mshamba...Sa uogope nini
Vitu za wakubwa hivi totoonikae bure tu.... namimi nataka mvuke๐
Ndio twende ukatoe ushamba totookuna ile aibu yaani ๐sema dah, mi kweli mshamba...
nataka nichungulie ๐Vitu za wakubwa hivi totoo
hivi kwani kwenye sauna room moja mnaeza kaa wanaume na wanawake??Ndio twende ukatoe ushamba totoo
Yeahhivi kwani kwenye sauna room moja mnaeza kaa wanaume na wanawake??
Uchungulie watu au?nataka nichungulie ๐
ndio๐Uchungulie watu au?
itabidi nije huko dar nile hizi bata aisee ๐Yeah
Akili zako ๐ndio๐
Unapitwa na mengi Sana totoo, fanya ujeitabidi nije huko dar nile hizi bata aisee ๐
hamna, nataka nione tu vile wako mule ndani na vitaulo๐hivo vitu nimeona tu kwenye muvi....Akili zako ๐
Soma kwanzaitabidi nije huko dar nile hizi bata aisee ๐
napambania bro...Soma kwanza