myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SafiiiiJana nilipata bahati ya kutembelewa na mwanajf mpaka home.....
Ulikuwa mda mzuri na tulipata time ya kushare mambo kadhaa ya namna ya kuukimbia huu umaskini angalau before 35 tuwe na ghorofa kadhaa[emoji3][emoji3](joking)View attachment 2622799
Ongera mkuuUjenzi gani Mkuu....., nilijaribu room kadhaa karibu nife na madeni na kulalia Box maana kila kitu niliuza[emoji28][emoji28][emoji28]
Sema sa hivi nashukuru Mungu napokea text ya bill mwenyewe sio kugongewa na mama mwenye nyumba kunidai bill ambayo sijui imesoma sh ngapi[emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28]
Aisee...wapi hiyoGood afternoon. View attachment 2622646
Why???πΆβπ«οΈmbona kama unaninafkia?? π
kufanya kazi barabarani??π hiyo sentensi ina utata....Why???πΆβπ«οΈ
Nimemaanisha tu huwa nalazimika kwenda nje ya nyumba comfort ikizidi.
Bado tunapambana Mkuu........ Hatutafuti utajiri ila tunatafuta kukidhi mahitaji yetu ya msingiOngera mkuu
mshamba_hachekwi Acha kujishtukia π Dr Lizzy kamanisha vingine kabisa. Kwa hiyo tusitaje Barabara kwa vile ndio ofisi yakoπ π§βπ¦―π§βπ¦―π§βπ¦―π§βπ¦―Why???πΆβπ«οΈ
Nimemaanisha tu huwa nalazimika kwenda nje ya nyumba comfort ikizidi.
Sasa Madam hichi chakula unashiba kweliii[emoji848] au ndo kulinda afya
mimi sina kazi, ni jobless boy πmshamba_hachekwi Acha kujishtukia π Dr Lizzy kamanisha vingine kabisa. Kwa hiyo tusitaje Barabara kwa vile ndio ofisi yakoπ π§βπ¦―π§βπ¦―π§βπ¦―π§βπ¦―
Kwa mguu?? Umefika wapi tuunganeKwenye safari ya Rondo.....
Mazoea tu kwa upande wangu.kufanya kazi barabarani??π hiyo sentensi ina utata....
Bora unisaidie π ππmshamba_hachekwi Acha kujishtukia π Dr Lizzy kamanisha vingine kabisa. Kwa hiyo tusitaje Barabara kwa vile ndio ofisi yakoπ π§βπ¦―π§βπ¦―π§βπ¦―π§βπ¦―
Yeahh. Nimeshiba mpaka usingizi unanitafuta sasa.Sasa Madam hichi chakula unashiba kweliii[emoji848] au ndo kulinda afya
niko nasoma kozi ya computer science.... natamani nije nipate kazi ambayo ni remote, au hata internship..... una recommendation au ushauri wowote labda....πMazoea tu kwa upande wangu.
Uzuri kazi zenu nyingi zinafanyika remotely.niko nasoma kozi ya computer science.... natamani nije nipate kazi ambayo ni remote, au hata internship..... una recommendation au ushauri wowote labda....π
Na uki failπniko nasoma kozi ya computer science.... natamani nije nipate kazi ambayo ni remote, au hata internship..... una recommendation au ushauri wowote labda....π
ntaingia kwenye rap game πNa uki failπ