Yaani unajipangia wa kukuweka begani? Labda kama John Cena wa kwa mtogoleπππ€£π€£π€£
Begani kwa John Cena/The Rock ehhhh???KABISA!!!π
100 others malizia hiyo software haraka, mteja mwingine huyu hapa!!π€
Ili nae aaje kuonja chachu ya kuachwa π€£π€£π€£Ana kaka tu...ila ufuge rasta kwani we beach boy ??? Ongea tu vizuri na mimi nikupe huyu hapa.
View attachment 2624040
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Yaani unajipangia wa kukuweka begani? Labda kama John Cena wa kwa mtogoleππ
Sitaki maana atakuja kunisumbua kwa vilio.π«£Ili nae aaje kuonja chachu ya kuachwa π€£π€£π€£
Hapo hukupaswa kujaza wewe hapo inabidi ujaziwe au wajazaji waje kukujaziaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
We umesema naniliu....nikajua natakiwa kujaza jibu.π€
Kumbe nimeingilia kazi ya watu??π³π³π³Hapo hukupaswa kujaza wewe hapo inabidi ujaziwe au wajazaji waje kukujazia
Kwani we unalia?Sitaki maana atakuja kunisumbua kwa vilio.π«£
Mi nshazoea...Kwani we unalia?
Kumbe nimeingilia kazi ya watu??π³π³π³
Basi nisamehewe bure!ππΎ
Wanaoishi kwa mtogole kwa nini mnawaonea hiviπ, kuna Tandahimba huwa nacheka sana..Yaani unajipangia wa kukuweka begani? Labda kama John Cena wa kwa mtogoleππ
Kwa tumboWanaoishi kwa mtogole kwa nini mnawaonea hiviπ, kuna Tandahimba huwa nacheka sana..
Leo upo active shemeji kakuachi uhuru nini?Kulia au kuachwa na mzungu ππ
Leo siku ya career so tulikuwa tunatoa elimu ya GBV shule mbalimbaliUnaenda kuwachukua madogo au upo pembeni tu unakula kipepo?
Nshamaliza.π€£π€£π€£
Begani kwa John Cena/The Rock ehhhh???KABISA!!!π
100 others malizia hiyo software haraka, mteja mwingine huyu hapa!!π€
Tafwadhali hapo kwetuπKwa tumbo
Nipo amenipa dakika kadhaa nikumbuke watu wangu wa nguvu humuLeo upo active shemeji kakuachi uhuru nini?
Umeguswa hapoTafwadhali hapo kwetuπ