Selfika na JF: Snap it. Show it

Hatuyahitaji hayo yote halafu mwanamke akiwa amekuja msafi wa mwili hana hizo mbwembwe huwa tunainjoi ule uhalisia wake wa mwili na shoo inakuwaga nzuri sana
Watu wanahangaika na mavitu ya ajabu , kumbe nyie hamjali hata .
Mwanamke ukimwendekeza kumpa hela ndio hawa baadae wakiolewa unasikia mwanamke kamuadhibu mume wake kwa kutompa unyumba kisa hela
Humpi hela ndefu , kidogo tu yakukidhi mahitaji mafupi .unapa zawadi na sio pesa
 
Huu wimbo siku ya kwanza kuusikiliza sikumbuki niliurudia mara ngapi.Napenda sana nyimbo za style hii na ni kali sana pia.Sipendi manyimbo ya kupayuka payuka hovyooo.
Wewe umekuwa kama mimi, huyu jamaa nimekusanya zaidi ya nyimbo zake 7 nazisikiliza.

Kuna nyingine zinaitwa Teamo na still not young zipo vizuri sana

Ukiwa una stress za kazi au Mpenzi amekuudhi zinafariji pia.

Unafarijika huku una jaa upako ๐Ÿค—
 
Ngoja nizipakue.
 
Alojiungaa 2016 humuuuu๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค” kuna 1 Grahams mwingineeee๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค” ngoja nitafutee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ!
Umbeaa kaziii walaiii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mimi nipo humu tangu miaka ile ukitaka kutuma barua pepe unalazimika kwenda Internet cafe ๐Ÿค—

Kwahiyo tumetoka mbali sana na hii Jambo forum ๐Ÿ™Œ
 
Ngoja nizipakue.
Zipo vizuri sana....

Zinanikumbusha miaka ile ya UKWATA tukienda kuabudu shule zenye girls tupu vile boys tunajitahidi kuimba kwa hisia ili kuweza kupata wa kukutumia barua ambayo utawasomea wenzako Bwenini baada ya kutoka Prepo ๐Ÿค—

Kweli tumezeeka sasa ๐Ÿคช๐Ÿ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ