ah wapo bhana , ni una bargain naye chap ..Hao wa zamani enzi za jk, wa leo hii hatabuwe na sauti ya kinanda, wanataka hela. Maana anajua akilegeza akachukua namba tu ukishuka unaanza gesi imeisha homeπ π
waache wale wengineChamtu huliwa na mtu
Ongeza nyamaMdudu iringa bei cheeeView attachment 2635889
Inatosha bossOngeza nyama
hii wiki sirushi roho nataka nitoboe 90 days soberπ ila Depal nimeona ataniwakilisha vema....@mshamba_hachekwi ndo upo kwa preparations
vidada vinapenda kurusha roho sijui vikiniita nakataaje πAll the best Mkuu
utatoboa kikubwa kufika malengo tu hapo .
Ignore calls zao hapo tu ndo utaweza .vidada vinapenda kurusha roho sijui vikiniita nakataaje π
nimeona unaenda the pillarsπAbee
πππππ nacheka sanaaaa mwananguMahangaiko π€£π€£
easier said than doneπ wengine wanakupitia kabisaIgnore calls zao hapo tu ndo utaweza .
Wkend mwanangu π€£nimeona unaenda the pillarsπ
Wakaushie tueasier said than doneπ wengine wanakupitia kabisa
mpe moyo jamaniLabda kutoboa tobo
umeenda kwa ajili ya nyama au kujilipua πWkend mwanangu π€£
Hata mia kwa konda nadai.Unalalamika kwa 2000?π Ungempa 10000 kabisa, na keep change.