Selfika na JF: Snap it. Show it

Ninini hiki kinachotrendi huko mjini Twitter???


Shoss akee Hivi Twitter ndio ipo Huko Daslam ama??![emoji1783][emoji1783][emoji16]!

Sinaga Aa wala bee nahivi vitu walai hebu nipeni AB C kwanzaa ![emoji4]
Uduguuu huijui twiraaaa?? Wee naee uwiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najua unataniaaa.
 
[emoji3]wapi ndugu@cocastic kaninyima huwez amini hajanipa hata mmoja
Hekaheka nyingi tu dear hii wiki Bora imeisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyiee mnatakaa wazee, sasa mie nna contenaa LA vijanaaa yankiiiiiiii
 
Carlton wivu + madawa yake vinamvuruga!
Lisa anamtaka Will, wakiwa wote kwangu its fine, C atajiheal kwa mbele huko akitulia akapendana na Jazmin, kwanza washa πŸ’‹ so wamalizie walichobakiza πŸ˜‚

Jazz βœ…
Wa zamani tuone wataishia wapi
Mpya nadhani sijafika, RN niko Ep8 πŸ˜‚

Wasituweke sana kufika S3 πŸ˜‹
 
Yani we muda wote ni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, mpaka kwenye nyuzi za Tanzia ni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ .
 
Yani we muda wote ni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mpaka kwenye nyuzi za Tanzia ni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nilijua unavonifatiliaaa hii lazimaa ikuumee na uta comment tyuuh, bado wawili naona hawapo online muda huu.

Vipii nakutesaa sanaaaa?? Poleeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani muonee huruma hata kidogo Carlton!😁😁

Jazz wa zamani namuongelea aliyekua kwenye OG Prince Of Bel Air . Kama hujaiona itafute ukiwa na muda, utaenjoy.

Sasa hivi kuna series nyingi nzuri, by the time unaikumbuka Bel Air, na muda wakutoka unakua umekaribia!πŸ™‚
 
Sure, nishapona ila hako ka alama bado kananikumbushia maumivu yake.


Mwachiluwi anaenda Mbeya pazuri kwa kina mshamba_hachekwi kupigia makelele yake huko. Dar nasikia wamemfukuza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nishachoka sifikiii tu πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • B91F3206-96D0-4D12-824A-AF6949D07A61.jpeg
    1.2 MB · Views: 7
Heaven Sent
Mama maleziii uko wapiiiiii??? Chimbo kumenogaaaa kuna bonge LA ubuyuuu, sina kifua cha kuweka hili, naupenda moyo wangu badoo.
Ufanyee ukujee nikupatieee mbea mwenzanguu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…