Thats neat hapo Kofi la Mpenzi hata haliumi [emoji28]
Sorry lakini, hivi unaendaje chooni na hizo kucha[emoji849][emoji849][emoji23] mshamba_hachekwi
Na mikucha hiyo๐๐, siwezi kula. Au nakufua utasema unatumia washing machine ๐ค๐๐Usijali!!
Tunashika toilet paper tunajifuta
tunachukua maji tunajisafisha.
tunachukua sabuni tunanawa.
tunakausha mkono.
tunamalizia hand lotion.
Au mwenzetu unashikaga uchafu na mikono uwiii ndo maana sipendagi kushikana mikono hovyo na watu!
Na mikucha hiyo[emoji23][emoji23], siwezi kula. Au nakufua utasema unatumia washing machine [emoji848][emoji23][emoji23]
vile vibomba vya kutoa maji shwaaa vina kazi gani mkuu.. sema hiyo mikono na imagine ina ku massage ๐๐ dah.Sorry lakini, hivi unaendaje chooni na hizo kucha๐๐๐ mshamba_hachekwi
Salama. Mambo Aaliyyah ?Mmeamka salama
Kama Guangzhou au ShenzhenHappy Friday!๐View attachment 2643143
Vile vinaitwa shattaf mambo ya kushika nnya watu walishaachavile vibomba vya kutoa maji shwaaa vina kazi gani mkuu.. sema hiyo mikono na imagine ina ku massage ๐๐ dah.
UmenibakishiaKama kawaida
Tusikufwate umeolewa?
Passport yangu ime expire nipo ubalozi wa Algeria hapa HABIB ููููููููููู ููู ูู ุจู ู ู ูููู ู
Na ndio mwenyewe anavyosema!!๐ฅด๐๐๐ ni hakuna kulala mpaka mambo ya klayanti yatimie.
Shemeji yako huyo muheshimu sanaSalama. Mambo Aaliyyah ?
Ndo yanamuongezea maarifa!!!๐mshamba_hachekwi Umeona vitabu hivyo๐ค, sio wewe umejaza ma walpaper ya xx Kama vile matangazo ya waganga๐๐๐
Kwa nani tena?Shemeji yako huyo muheshimu sana
Shekpeee๐ค๐๐, halafu nyinyi mkiwa matajiri. Tyanze kusema mmeturogaa๐ค๐Ndo yanamuongezea maarifa!!!๐