National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
ale chumaaaa π πNimeandika nikafuta nikaandika nikafuta nikaandika tena nikafuta........!!
aaah leo nitapita nae hata kumbeba mgongoni kwa lazima π π π π namtobolesha hadi saa mbili asubuhiiShida Tonia anawahi kulalaa, weekend na yuko likizo atoke kuruka majoka π π π π
Mie nilifeliiigii ujueeee hata Sijaelewaaaaa.......!Wanao mjua intelli wa sasa, wanaelewa I never delivery and if I do so it's the best out of meπ€
π Kama hauwezi niamini, kwa kila Ninacho fanya. Basi siwezi endelea kupanda mbegu kwenye mlimaππ€¨
Antonnia
ubebe na kabegi kako usisahu na maji ya kunywaa ππNakuja!!
Huku kwetu ni 4000 kasoro 200!! Sasa si utanifilisi!??π³π³Aisee, usije niitia mapolisi kisa Michelle wa buku 3 ππ. Maana nabugia kilo mwenyeweππ€
midomoo hiyooo πππ rangiii hiyoo dah.. ebu nimuone bibi harusiVijana wa hovyo wacha waendelee kukaza fuvu ndoa ni utapeli nishakula ubweche sasa hivi natafuta soda bariddiiiView attachment 2644730
Onyesha mfano!Anza wewe, naweka yangu fastaπ
Mali ya watu tayari ππmidomoo hiyooo πππ rangiii hiyoo dah.. ebu nimuone bibi harusi
Ndio nasubiri πΊ hapa....ubebe na kabegi kako usisahu na maji ya kunywaa ππ
Kabisaaa kipenziiii umeona eeehhh!! Tatizo huku Nyakiboo sasaπShida Tonia anawahi kulalaa, weekend na yuko likizo atoke kuruka majoka π π π π
Onyesha mfano!
Mashallah mrembo π₯π₯π₯π₯ mbona ubweche π€£π€£π€£ na soda ya Pepsi baridiii unashushia bi mzuri...Vijana wa hovyo wacha waendelee kukaza fuvu ndoa ni utapeli nishakula ubweche sasa hivi natafuta soda bariddiii
Tualikane kula ubwabwa π€jamani, uchoyo haupendezi nuzuVijana wa hovyo wacha waendelee kukaza fuvu ndoa ni utapeli nishakula ubweche sasa hivi natafuta soda bariddiiiView attachment 2644730
Vijana wa hovyo wacha waendelee kukaza fuvu ndoa ni utapeli nishakula ubweche sasa hivi natafuta soda bariddiii
Hivi Kuna binadamu mbayaπππMashallah mrembo π₯π₯π₯π₯ mbona ubweche π€£π€£π€£ na soda ya Pepsi baridiii unashushia bi mzuri...
We si upo kwennye group la ndoa ni utapeliπTualikane kula ubwabwa π€jamani, uchoyo haupendezi nuzu
Umesahau kuwa mgeni Ni malaikaπ€π€πHuku kwetu ni 4000 kasoro 200!! Sasa si utanifilisi!??π³π³
Usinipeperushie waremboπππ, lini, wapi na kwaniniππWe si upo kwennye group la ndoa ni utapeliπ