Mimi naomba kinywaji pekee Dr Lizzy
Kwa style hiiππ, nitakufa kwa masononekoπππ.
Jiko na masufuria si vipo lakini???Ukiona nazingua unakorofisha mwenyewe!!πKwa style hiiππ, nitakufa kwa masononekoπππ.
π Yaani chakula hicho, hakinitoshi hata nilipo kuwa mtoto mchangaaππ
Unafuata au nikuletee??
Naijua hiyoππππJiko na masufuria si vipo lakini???Ukiona nazingua unakorofisha mwenyewe!!π.
Tulia
Ufungie na majani ya kunde na Mchicha sio nyama tuππ
Msikilizie bodaboda wangu!π
πππππ
hiyo avatar vipi tena mzee πAlways remember that you are unique β just like everybody else.π
Macho yako yanaona vizuri au nikupe miwani.hiyo avatar vipi tena mzee π
well played πMacho yako yanaona vizuri au nikupe miwani.
Tuachaneeeee, wee si hautaki kutuwekea vocha hapa.Hatuachaniiiii
Hakuna kuachana hapa
Siiwezi hiyooPolesana tumia browser
EwaaΓ a...Nikuwekee π na π§???π