Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahahahhahah be care lakini be care sanaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mana nilijaribu kukutetea nikaishia kupata maneno mazito πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
"Kudambukaaa" 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
coca mbavoooo zangooooo hukuuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzzπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
Nacheka hadi nataka kujikojolea hapa ujuee🀣🀭🀭🀭
 
Hamna chuki mpendwaπŸ™πŸ™, Jamaa ana fanya utani tuπŸ™πŸ™πŸ™
 
Hiv kunawatu kabisa wanatafuta undani wa mtu kweli Kwan kilamtu anatumia chake ugomvi wa nn[emoji3][emoji3][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wamevurugwaaa na coca shangaziiiii, hawanywi maji yakakata kiu, hawali wakashibaaa kisa coca.

Kilaa waionapo hii ID wanapatwa na dege dege LA ukubwaniiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Degedege la ukubwani bwahahahaha🀭🀭🀣
 
Alikuwa ana Tania tuπŸ™πŸ™πŸ™, hamna chuki
 
Mungu hakutaka migogoro akampa kilamtu Mali yake awe na yake Yani mm yangu ni yangu Mwenyewee naitumia nipendavyo Sijapenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shangaziiii umechachukaaa vibayaa mnooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo Dar ishakushandua kiasi hikii.
 
Nyiee mnaniuaa mbavuuu memeeee hukuu mjueeee!! 🀣🀣🀭🀭🀭🀭🀭!!
Walai mmenishinda tabiaaaa mnataka kuniua kwa kichekooo walahiiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!

Mie nyani mzeee humuuu kuna vitu humu naangalia na kujichekea ka fwalaaa fulani tyyu nhiiiiiiiinhiiii😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…