Mbona kupuuzwa!! π€£π€£Burger na chips hazina uhusiano na allergy, upuuzwe
Cc LenieYeah ni kweli, miaka yetu wakati tunakuwa, hayo mambo ya Burger sijui Pizza hayakwepo kabisa.
Sikuhizi ni kawaida kumkuta dogo wa class V ana kilo 60 kutokana na hayo mavyakula.
Dokta Issac Ndodi alikuwa anasema Turudi Edeni [emoji12]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona kupuuzwa!! [emoji1787][emoji1787]
Watu tuna aleji na makande huku
Huyo hawezi kuelewa, kila siku lazima apige Pizza π mbili ndiyo alale πππ
Sio kweli bana
Na pepsi bariiiiidiπHuyo hawezi kuelewa, kila siku lazima apige Pizza π mbili ndiyo alale πππ
Mpeleke pizza hurt pale ya mikocheni au mlimanNa pepsi bariiiiidiπ
Na mbona sina hizo allergy au manyama uzembe, nyie acheni kupotosha umma.
Pizza huRt ndio nini uduguMpeleke pizza hurt pale ya mikocheni au mliman
Pizza hut πππππ typing errorPizza huRt ndio nini udugu
Halafu last time walinipa vocha ya elf 5, nasubiri alhamis ifike niende naongezea 10k nijipatie large sizeπPizza hut πππππ typing error
Naomba mwaliko mimi nipe ofa ya combo tu ππHalafu last time walinipa vocha ya elf 5, nasubiri alhamis ifike niende naongezea 10k nijipatie large sizeπ
Nitafute alhamis tukale wote largeNaomba mwaliko mimi nipe ofa ya combo tu ππ
Sasa natoka job saa kumi na moja πππ’Nitafute alhamis tukale wote large
Ukitoka nichekiSasa natoka job saa kumi na moja πππ’
Bahati sijaonapo huo Ubonge ulionao, ila hizi Pizza na Pepsi lazima zikupe Kitambi hadi ushindwe baadhi ya mikao πNa pepsi bariiiiidiπ
Na mbona sina hizo allergy au manyama uzembe, nyie acheni kupotosha umma.
Kitambi which when how?Bahati sijaonapo huo Ubonge ulionao, ila hizi Pizza na Pepsi lazima zikupe Kitambi hadi ushindwe baadhi ya mikao π