Pep kama pep๐Huyo Pep umemtoa wapi?๐
Si yupo huko mjini Manchester jamani.
Ntakupigia nikuambie.
Usiku utakuwa na muda??
Mida ya saa3 hivi.
Au nikupigie Sasahivi tu๐Pep kama pep๐
Karibu mdogo wangu we nipigie tu naamini nitakua macho muda huo
Na mimi nimeshangaa Mkuu,nakuwaje mkewe wakati yupo duniani huko,afu mimi nipo Nanjilinji ndanindani huku.Pep si kocha city a.k.a citizen๐คฃ๐
Nipigie tu mama mchungaji anytimeAu nikupigie Sasahivi tu๐
Huyo Pep namuona tu alivyoipa Manchester vikombe vya kutosha๐,ndo huyo unayemsema?
Kuna pep alaf kuna pep wa mdogo wangu Saint AnnePep si kocha city a.k.a citizen๐คฃ๐
Afu una waambia utawa bembeleza walale๐ค๐ค AaliyyahNilikuwa nasalimiana na majirani ๐
mshamba_hachekwi, njoo uone nimepata jirani nanjilinjii ๐๐๐Na mimi nimeshangaa Mkuu,nakuwaje mkewe wakati yupo duniani huko,afu mimi nipo Nanjilinji ndanindani huku.
usinisumbue dogo nazima moto ujue๐ CA hazifai 0 kaa zote...mshamba_hachekwi, njoo uone nimepata jirani nanjilinjii ๐๐๐
We SI ulisema una piga mishe za pesa ndefuu๐ค๐คฃ๐๐,usinisumbue dogo nazima moto ujue๐ CA hazifai 0 kaa zote...
nauza mihogo huku chuoni๐We SI ulisema una piga mishe za pesa ndefuu๐ค๐คฃ๐๐,
๐Au professor ana Tunga ca bila kuvaa nguo๐๐คฃ
I just nailed yah๐คฃ๐, endelea kupiga mishe za mabilioni mshamba_hachekwi .nauza mihogo huku chuoni๐
Vipi Tena mwana city๐๐คฃ๐คฃDah ๐
Waacheni kina Melo jamani, wanataka wote mhamie kwenye web!๐๐๐Ulipost?
Kama ulipost basi niliingia kwa kutumia liapp libovubovu la kina Melo,halionyeshi picha.
Leo nimetumia browser
Ngoja nipande Mlima,japo kupanda kwa Browser ni changamoto kwangu.
Af kweli, maana angekua kwenye gari yake haya yote yasingetokea
Depal unataka gari gani eti
HBD kijana๐Happy birthday to me Mwachiluwi
๐๐๐
Bora I we hivyo, Mana una waza kula nauli tu๐ญ๐ช Aaliyyah,๐๐๐