Mukuje wote sawa...
Fanya juu juu ukuje.. an hakuna sababu ya kukosa mybe uwe nje ya dasalamu
Kesho usiweke hii B&W pia mii nilitaka kuona macho tuma kama hii ikiwa na macho tuu πππππππ
SitakiNimeweka mali safi ukajifanya sizitaki mbichi hizi, utaniota leoπ
Dadeq MUST watakuwa wanakoma.
Awww nakuona umetoka bling blingπππ
Kuna njia huku ya chanika ipo saafiii... Unaingia chanika, Mvuti, kitonga, mwisho wa rami, Msongola, Kesewe, mbande, bami, then ushafika mikumi hapo.. 1hr ushaingia ππππAnakaa Goba huyo
Kuja mpk Chamanzi ni kama anaenda mkoa safari yake
haya rudisha ileπAwww nakuona umetoka bling blingπππ
Hiyo mpaka nikija kule mahali, hapa naogopa nitatekwaSitaki
Mm nataka π«¦π
na mahindi ya kuchomaπDadeq MUST watakuwa wanakoma.
Acha tule mihogo bro, wataelewa tuπ€£
ah we watu humu hawaonyeshi suraπKesho usiweke hii B&W pia mii nilitaka kuona macho tuma kama hii ikiwa na macho tuu πππππππ
Io route yote kisa? ππKuna njia huku ya chanika ipo saafiii... Unaingia chanika, Mvuti, kitonga, mwisho wa rami, Msongola, Kesewe, mbande, bami, then ushafika mikumi hapo.. 1hr ushaingia ππππ
Dahan ww na mwenzak hakuna eksquz hapo
Ficha kila kitu nataka nione macho tuuu basiah we watu humu hawaonyeshi suraπ
Hii haijaendaaHiyo mpaka nikija kule mahali, hapa naogopa nitatekwa
Wee kweli unasema hvo...Io route yote kisa? ππ
na mahindi ya kuchomaπ
π π π Jamaa bhanaKuna quote yake nyingine anasema
Anamuogopa mwanamke ambaye haombi hela [emoji23]
Hii haijaendaa
sikuoni ila unyamaπView attachment 2670950haya io apo dogoπ
Ulitaka kuona nin kwanπππππsikuoni ila unyamaπ