skuizi una vijembe๐Asiyekuwepo na lake halipo๐
mna mambo mengi๐Nilimualika jamaa mmoja maombi alichonifanyia kila saa anataka aondoke na kafika hivyo
Hii njia nzuri kumjua mtu
Hasa si walokole ambapo ibada inaongozwa na Roho mtakatifu ๐๐
mshamba_hachekwi
waache kutupendea hela itawasaidia๐ni kazi ya mwanamke kumuombea boyfriend wake.
chaputa kugumu ndugu yangu mikono inachoka๐
Heheee shem acha tuKumbe wewe shem Tinsley ndio unakaa na viremba kichwani๐ boyfriend anajaribiwa chumbani na kutoa huduma sio kanisani kwenye maombi. Maombi ni kazi ya mwanamke kumuombea boyfriend wake. View attachment 2672614
Heheeemna mambo mengi๐
sasa kama sio mlokole na ana hela??
hujajibu swali unajing'ata unajua pesa ilivyo tamu๐Heheee
Lazima tuone unavyosali isije haswa kwenye kukemea roho chafu .
Balaa mwanangu, miguu yote inaganda๐Hii fog ni balaa
View attachment 2672671
Sijui iko wapi nionje utamu wa pesa ๐๐hujajibu swali unajing'ata unajua pesa ilivyo tamu๐
Hehee balaa na nusuMpaka ukamjaribie kanisani tayari wote mna roho chafu๐๐๐๐
Unapakaa wapi?Tiba ya chap
Ni kupakaa View attachment 2672674
tafta sponsa lililoshiba๐ ulokole utausahau๐Sijui iko wapi nionje utamu wa pesa ๐๐
hii kitu imenisave sana kwenye upweke๐Tiba ya chap
Ni kupakaa View attachment 2672674
Kwa mikono/ viganjaUnapakaa wapi?
Shetty wewe ๐คฃhii kitu imenisave sana kwenye upweke๐