msanii huyo ana mihela hivyo anakuaje single๐Ety mshamba_hachekwi ni kweli mko nae sambamba๐๐๐๐
Bado hujatimiza ahadi yako shem .
Ipi shem, nikumbusheBado hujatimiza ahadi yako shem .
Kututoa out .Ipi shem, nikumbushe
Na nani sasa. Naona "kututoa"Kututoa out .
Who elseNa nani sasa. Naona "kututoa"
Jipangeni mnipe taarifa mkiwa tayariWho else
My bestie .
Okay shemJipangeni mnipe taarifa mkiwa tayari
Mnaweza kutoka jion ya leo?Okay shem
Ngoja tujipange
Ndio shemMnaweza kutoka jion ya leo?
๐๐๐Poa. Leo siko hapo, ngoja niwezeshe mwende pale mahali mka enjoy. Namcheki baby Yoda awa- pick na kuwa host as usual. Right?
Poa. Mcheki baby Yoda, tayari.๐๐๐
Sawa shem darling
Tupo redee
Friday ni siku ya kuenjoy na hang out .
Sawa shem akePoa. Mcheki baby Yoda, tayari.
Enjoy your self cute ladies. Ila yule best yako wa siku ile mwambie apunguze zile, alimboa baby Yoda mpaka akanilalamikia๐
Usimwambie asije nijia kama siku ile ๐คฃSawa shem ake
Ngoja nimcheck chap
Msamehe bure you know ๐ ...
Sawa , simwambii .Usimwambie asije nijia kama siku ile ๐คฃ
Ila shem, yule mtu mpaka lini sasa, mbona kama unanipanga vile, tuma WhatsApp yake nimckeki. Au hutaki na mimi nipate cute maka wewe
Au basi๐๐Sawa , simwambii .
Asije fanya yake hapa
Memory imegoma kwanza nikumbushe ni nani au uniambie chemba ๐๐
SikupangiAu basi๐๐
Nimeshajua ulikuwa unanipanga.
Ngoja leo namtuma baby Yoda awa-spy๐
Enjoy your weekend ladies. ๐๐
Sikwambii leo.Sikupangi
Nakuja uniambie , sipendi kukuangusha my beloved shem .
Thank you , likewise have fun .
Dahan SI unajua concept ya mis use, lazima izingatiwe๐๐Na hapo ndo unafeli inteliiii๐๐๐๐