Hadi kulima nalimaMashaalalaaahhh hivi unapika kweli wewe
Hamna namna, weekend iendelee๐ฅView attachment 2689882
Muhimu kwakweliJipongeze mtoto mzuri
Una maneno sana mkuu, kamnyweso ndio nini tena hahaUnapenda kamnywesooo
Aiiiii maisha yafaa nini bila kachupa kamoja?Unapenda kamnywesooo
Ishi maisha yako mkuu, najua mapongo wakiona hivi wameficha nyuso za hila uvunguniMuhimu kwakweli
Mapongo๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃIshi maisha yako mkuu, najua mapongo wakiona hivi wameficha nyuso za hila uvunguni
Una roho ya dhahabu sana binti.Mapongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waje tu tujumuike, +ve vibes only hapa[emoji1635]
Sina baya na mtu mimi
mapozi mengine bana๐View attachment 2689879
Arumeru Arusha vumbi sio lakitoto
Hehheee mbona Mapongo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃIshi maisha yako mkuu, najua mapongo wakiona hivi wameficha nyuso za hila uvunguni
Ngoja nikapate moja baridi nitarejea kuzima motoHehheee mbona Mapongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Stand ya zamani chief
auntie una mkono mzuri๐Hamna namna, weekend iendelee๐ฅView attachment 2689882
๐๐๐๐๐ Niendelee kulewa mie ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธUna roho ya dhahabu sana binti.
Mapongo wanasoma kimya kimya.
Baadae wamtume yule mtoto aliyepatikana chini ya mwembe mwenye makamasi aanze ujinga wake.
Huyo sio mkweli nahisi alilenga kukwambia uache uchawa na kutumwa khenge weweNimerudi at last. Hapo kwenye ukorofi umekosea sana
Ukorofi upi huo mi ni mpole mbona [emoji848].
Anyway kazi iendelee [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante totoo๐คauntie una mkono mzuri๐
Inaonekana unapajua Misungwi vizuri sana chifu! ๐Stand ya zamani chief
Lewa mama...nawe inaelekea sio mrahisi...mkurya nini wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Niendelee kulewa mie [emoji2089][emoji2089]