mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
vunga.Hujielewi kumbe, pole sana. Watu wako wa karibu wanapata shida sana
Mzee fanya hata mazoezi, uondoe chuki na ngebeππ€£peleka ujinga na wewe
Nilikuwa nafanya hivyoπvunga.
Achana nae.Mzee fanya hata mazoezi, uondoe chuki na ngebeππ€£
View attachment 2697010
hiyo picha ilikuwa hapahapa mimi nilichofanya ni kuipest tuh,kumuonyesha kwamba hiyo anayodai kaifuta picha bado ipo
Anachosema Dr hyperkid ni sahihi kuna picha nyingi watu huwa wanasema wamefuta ila huwa zinaendelea kuwepo kwa mda flani .. huwa naziona picha nyingi sana walizofuta watu..Sawa ni mdogo, ila kwa Hilo tukioπ€. Una hisi nani ana shidaπ€
π₯π₯π₯π₯π₯ upo dunia yako...π
Naona una balanceππ€π€£, au Jamaa ni waziri so una tafuta uchawaπ€£π€£π€£Anachosema Dr hyperkid ni sahihi kuna picha nyingi watu huwa wanasema wamefuta ila huwa zinaendelea kuwepo kwa mda flani .. huwa naziona picha nyingi sana walizofuta watu..
Vyoteeππππ, huna bayaaπNisefike mimi pekee au na Ukwaju wanguπ
π π π .. ni kweli mkuu.. labda mlipo pishana yeye kui post tenaNaona una balanceππ€π€£, au Jamaa ni waziri so una tafuta uchawaπ€£π€£π€£
Bro Nina Akili mpaka najiogopa, naweza kusoma au kuona kilicho ndani au jifichaπ€£πππ π π .. ni kweli mkuu.. labda mlipo pishana yeye kui post tena
Education is the key of life, muhuni nikamaster u super courage the master key of lifeπ€.π π π siwezi kuwa chawaaa.... nina B.Eng in Mechanical Engineerning... Bsc in computer science.... Msc .... certification zimelala... sina vigezo vya kuwa chawaaa π π π
Na Huku umekujaaπOyaaaaaaaa!
Nilikua wapi??Na Huku umekujaa[emoji849]
Five??, I guess nitanunua kifaru ili niboreshe mbinu za wizi wanguππ€£π π π within five year nitakuwa ni Dr. National Anthem .... kama ana mademu wakali nitakuwa chawaa wake.. elimu haina ubavu kwa mbususu